Nimeshtuka Sana baada ya kusoma huu Uzi Hakika nimejifunza Jambo leo naweza sema Ni kubwa Sana maishani mwangu.Kumbe nyeto ndo chanzo Cha umaskini kushindwa kusonga mbele mikakati ya kimaisha kufeli plan zangu kufeli hapa Kuna ukweli Sana Kama mtoa mada alivyoelezea Hakika najuta kuchelewa kufaham huu ukweli
Nyenyere mungu akubariki sana brother leo umejifunza Jambo kubwa Sana
CHANGAMOTO
Kama mm nisie na demu hapa nawezaje kushinda hii roho ya tamaa maana Kuna mda mwili unatamani Sana kama kutamani Natamani Sana hasa Kuna type za wanawake same time nahisi hadi moyo umeshtuka maana unakuwa umemtamani ile mbaya Sasa hapa afsa tunafanyaje kuweza kuovercome hizi obstacles katika maisha yetu ya Kila siku maana nyege mbaya sana