Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu


JK hakuwa na lolote la maana, na ukiona watu wanamsifia basi ujue wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa lengo la kumnanga Magufuli. Yaani kama ni alama za uongozi JK na Magufuli hakuna anayekaribia 50%. Kama ni ubora au udhaifu wa wawili hao, inategemea na mtoa maoni yuko katika mazingira gani kwa wakati husika.
 
chief you're fine, I like it😍
 
Historia inajiandika. Sijui ni title gani itafaa. Industrial, Agrarian revolution in Tanzania! Au kutakuwa maneno deppression, decline, stagnation.
Pengine kwa sasa tutaona Tz on the move under JPM!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida tu, Yaliyopita si ndwele. Lakini kama yaliopo afadhali na huko tunakotoka, tusemeJe ?!.

Huyu jamaa aliingia kwa kukamia vitu ambavyo hakuwa na maono ya namna gani kuyavusha.
Ukubali ukatae kiuchumi wananchi wanaona afadhali ya Jana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamsakama sana rais wa wanyonge. Kwann lakini ?
 

Mkuu Odhambo, ili uchumi wa wananchi urejee ni kitu gani kifanyike mkuu, ningependa kujifunza ktk hili, samahanimkuu
 
CRAP
..
CRAP.......TUKUTANE WEWE NA HIYO CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (CHADEMA).

mnapost na mna comment nyinyi wenyewe.

Sisi tunawasubiri kwenye sanduku la kura sio humu kwenye platform ma xence

Magufuli yupo mpaka 2025[emoji1241]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata leo wapo. Hawaishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamsakama sana rais wa wanyonge. Kwann lakini ?
Kama hii inaonekana kuwa ni 'kusakama' basi nitaomba nisamehewe, lakini nia haikuwa kumsakama Rais hata kidogo.

Sielewi kati ya yaliyoandikwa kwenye mada hiyo, ni kipi hasa kinaweza kubainishwa kuwa ni "kumsakama" Rais?

Kuna uongo uliowekwa humo maksudi?

Jibu sahihi ingekuwa ni kutoa maelezo kuonyesha kwamba amefanya juhudi kadhaa kwenye eneo husika ili sote tuone ukweli wa kupinga 'usakamaji' unaoandikwa.
 

Magufuli hana sifa ya kushinda kwa box la kura, usitake kujichomeka kwenye sifa msiyokuwa nayo. Toka Magufuli ameingia madarakani ndio tumeshuhudia mwenendo wa kishenzi na kihayawani ambao haikuwahi kutokea huko nyuma. Sio kwamba kabla yake uchaguzi haukuwa na rafu, ila yeye katoka kwenye rafu, kahamia kwenye chaguzi za kishenzi. Lengo lake hasa ni ili ionekane yeye na chama chake wanakubalika sana, na kipindi cha utawala wake ccm ilikubalika, kitu ambacho sio kweli. Hiyo October kama hakutakuwa na tume huru ya uchaguzi, huo uchaguzi utakuwa ni kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi kwenye kusaka madaraka.
 
Aache kulala kwenye mawe aanze mchakato wa TUME huru haraka
 
Magufuli kawasource ya information chochote anachosema ni gumzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…