The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Mnajifanya hamuoni mazuri.
MAGUFULI4LIFE.
Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Utachangiaje kwenye hypothetical argument?
Kuna kiwanda cha kina pole pole na bashiri kinachozalisha upupu.Kipo active kweli,aina nyingine sijawahi sikia!Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Mapungufu ya awamu iliyopita si mafanikio ya awamu ya sasa. Ajipambanue kwa kuboresha uchumi wa nchi,mtu mmoja mmoja na huduma za jamii na si kukamia watu waishi kama mashetani!Mkuu, Kwanza nakupongeza Kwa kujikita kuzungumzia mapungufu mengi yaliyopo sasa na hata Mimi naungana na wewe katika hayo ingawa si yote
Binafsi siungi mkono unafki mkubwa uliokubuhu Kwa wengi wetu hapa, hasa mtu anapokumbuka ya utawala uliokuwepo kabla ya huu,
Mkuu, mtu anapojaribu kukumbuka nyuma maana yake inabidi atueleze pia yoote tuliyokuwa tukishinda hapa kuyaponda, Mkwere alidharilika Sana hapa na waliomdharilisha ni haohao ambao leo wanasema wamekumbuka Uongozi wake,
Na ndiyo maana nilihitimisha kusema, wake za lutu ni wengi na hawatakaa waishe
Je kipindi cha JK wanakumbuka pia kwamba Maskini wengi waliswekwa ndani Kwa makosa yasiyo Yao, Maskini wengi walikuwa wakinyang'anywa mashamba na viwanja na matajiri, tena usinikumbushe kabisa kuna ndugu yangu alinunua kiwanja alikuwa akikiendeleza kidogokidogo siku ya siku alikuta kiwanja kile kimepigwa fensi kwenda mahakani akafungwa yeye,
Wanakumbuka pia kwamba member wa hapa bwana BAK karibu Kila siku alikuwa analeta liwaya jinsi serikali ya kipindi hicho ilivyokuwa imeoza
Staki kukumbuka uozo wa nyuma, Tusemeni na tukaze kukemea uozo uliopo leo
Mfano tu. Hivi kulikuwa na ulazima wa kuwanyang'anya wafugaji mifugo yao yote ?! Kwa kuwasomea tu sheria, kuwa ng'ombe moja anakula majani ya shs 5000 siku kwa miaka mitatu !! Unampigia hesabu mchungaji anachanganyikiwa kisha anashindwa kulipa faini. Halafu hao hao ng'ombe wanauzwa kwa wafanyabiashara kwa bei poa ?!!. Huyu mfugaji uchumi wake si umeuua ?!. Kwa nini wasiwekewe sera nzuri inayowezekana.Mkuu Odhambo, ili uchumi wa wananchi urejee ni kitu gani kifanyike mkuu, ningependa kujifunza ktk hili, samahanimkuu
Mkuu 'unprejudised'Pamoja na Coronavirus duniani wewe unaleta uzi huu. My God. Ndo Hapo unaona Kuna Shida kubwa sana kwenye akili zetu watz.
But tell us Sasa una tatizo gani kubwa moyoni mwako. Wewe binafsi, mana siku Zote naamini Hakuna makundi katika maumivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 'Gitah'Lakini, aidha kwa kujua, kwa makusudi ama kwa kutojua, walioko kwenye mfumo wakiongozwa na MKUU WA MALAIKA hawajali. Wamebaki wanapambana na WAPINZANI, kana kwamba ndo walioharibu UCHUMI wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.
Maendeleo niliyoyaona kwenye Serikali ya JPM ni Kasi ya kutengua na kuteua kwa kuzingatia sifa ya kuimba mapambio.Ndugu, hatujifanyi, bali tunasema kwa capital letters kuwa "HATUONI" kabisa kwa miaka mi5 (2015 - 2020)
Wewe unayeona kanusha kutokuona kwetu kwa ushahidi thabiti usio na shaka...!!
unapoandika kitu kama hiki namba na evidence uwe unawek, mifano na kulinganisha takwimu, otherwise ni vacuum talk.Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Kweli kabisa mwijage pa1 na usanii wake ila aliimudu wizara.Ngoma ya kitoto haikeshi mkuu. Mwijage sijui yuko wapi maana yeye angalau alikuwa ana guts za kutamka maana ya neno viwanda bila kupepesa macho
Nafikiri wewe hujaelewa au kumuelewa Lengo la awamu ya tano.Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Kanuni bora katika maisha unapokuta mke wa mtu hajafanikiwa kupata mtoto usimseme hovyo. Hata wewe uliyepata watoto kumi, wote kumi wanaweza kutwaliwa na Mungu kama wale watoto wa Ayubu.Busara zilikuwa ziaze ktk kufufua mazo ya biashara kwanza ili kuvutia uwekezaji ktk viwanda, Pia tuanze kufufua viwanda vyote alivyoanzisha Mwalimu. Badala yake tukaanza mkakati wa kujenga viwanda vipya bila dira ya aina yoyote! Tumeishia kuhesabu vyerehani na machine za kufyatulia matofali kama viwanda! Shame!
This is a broad daylight lie. Give us a rest!Nafikiri wewe hujaelewa au kumuelewa Lengo la awamu ya tano.
Na suala la maendeleo ya kiuchumi na mengineyo ni la majumuisho ya vitu vingi.
La viwanda ni juhudi za watu binafsi au tuseme private sector kuifanya, njia nyingine ni watu wenyewe waji organise waanzishe hivyo viwanda, kuna partnership, joint venture, cooperatives, companies nk nk kama ilivyokuwa somaigroup, jv group, a to z, sunflag , la hilo likishindikana ndio serikali inaweza ku prop up kwa kuanzisha hivyo viwanda au kuomba mashirika yake yafanye hivyo , na juhudi hizo zimeanza ktk sugar industry.
Sasa wakati huo huo unapozungumzia viwanda, pia kunatakiwa kuwepo na source of raw material ambayo ita tokens na uzalishaji toka kwa wakulima binafsi usafiri, bank , maghala nk.
Inaitwa ugeni wa ofisi au nguvu ya soda ngoma ya kitoto haikeshiNakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Nguvu iliyotumika kupambana Na upinzani ambao nao wameushindwa ingewekezwa kwenye kutatua shida ya ajira ingeshatatuliwaBadala ya Mkuu wa nchi kujenga uchumi imara yeye anajenga chuki na raia wasiokuwa na hatia (wakulima wa pamba na korosho)
Mkuu, hii sio 'publication paper'.unapoandika kitu kama hiki namba na evidence uwe unawek, mifano na kulinganisha takwimu, otherwise ni vacuum talk.
magufuli ni dikteta lakini kwenye kazi huwezi kumlinganisha na mwizi Jakaya.
Really, JPM ni dictator ila yule congenital corrupt Jakaya, no. We can correct JPM by pushing him