Asante sana kwa kututhibitishia kiwango chako cha ufahamu kilivyo kwa kujificha kwenye "keyboard", maana maisha yako ndivyo yalivyo.Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Wewe una likes 6 yeye uliyemkoti hadi mda huu ana likes 68. Hii ni Jf wewe! Home of great thinkers, ukitaka kujua uzito wa hoja au upunguani angalia hisia za watu kwenye comment.Nguvu ya Soda.... Ina uhusiano gani na hiki ulichoandika?? Huna kazi ya kufanya?
Mkuu nakusalimia Jumamosi ya leo. Nashukuru kwa mchango wako ila na mimi nina machache ambayo naweza kukuongezea katika ufahamu wako wa masuala ya viwanda.Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Astagfulillah!!!![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1399717
Mkuu wazee wanasoma nyakati:, UKIMYA WAKO NDIO UHAI WAKO!!.Inashangaza sana kuwa haya yanatendeka ,walio takiwa kukosoa wanashambuliwa! Hivi kina Mzee Butiku na wenzake wanajisikiaje namna walivomkomlia kumkosoa JK na BWM ,Leo hali ni mbaya wamekaa kimya utawala bora uanabakwa!
[emoji23] [emoji23]Mnamsakama sana rais wa wanyonge. Kwann lakini ?
"---kuthibitisha kiwango chako cha ufahamu kilivyo kwa kujifcha kwenye 'keyboard"!Asante sana kwa kututhibitishia kiwango chako cha ufahamu kilivyo kwa kujificha kwenye "keyboard", maana maisha yako ndivyo yalivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Huyu nae eti ana akili!
Mkuu Gerald M Magembe, hapo hakuna somo refu lisiloeleweka na yeyote anayetaka kulielewa. Najihesabu kama mmoja wa wenye uelewa wa kutosha juu ya hilo.Kwa mahitaji hayo tunatakiwa tuwe na umeme wa kutosha na kwa bei ya asilimia mia nne (400%) chini ya bei ya umeme yaleo ili tuwe washindani Africa na sio Duniani.
Hili somo ni refu kidogo
Jambo la kushangaza sana hili. Unasubiri upate 15,000 MW ndipo ujenge viwanda? Uliona wapi jambo kama hilo linafanyika?Tunatakiwa tuwe na uzalishaji wa umeme MEGAWATI 15,000 ili tuweze kutumia vizuri nchi yetu kiviwanda na viwanda visambae nchi nzima, Tanzania ni kubwa kuliko Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda kwa pamoja.
"---kuthibitisha kiwango chako cha ufahamu kilivyo kwa kujifcha kwenye 'keyboard"!
Kuna sababu zipi zinazokufanya udhani najificha kwenye 'keyboard', na kwa nini unaona najificha?
Mawazo yangu si hayo umeyapata, hata kama yamepitia kwenye 'keyboard'!
Wewe ulitaka iweje? Unatishia watu kwa mawazo yao? Mpuuzi mkubwa wewe!
Unajua jinsi gani maisha yangu yalivyo, na yanakuhusu nini wewe?
Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete.
Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo au ilifutwa, maanake hata waziri mwenyewe hajulikani kama yupo au hayupo.
Zao la pamba, wakati wa Kikwete, lilikuwa limewekewa nguvu sana kiasi kwamba maeneo yote panapolimwa zao hilo palianza kuonekana kuwa shughuli ya kulifufua zao inafanyika. Simiyu ilianza kuonekana kama mkoa maalum wa kulima zao hili.
Juhudi za kulifufua zao hilo, ulikuwa ni mkakati wa kufufua viwanda vya nguo, ili pamba tunayozalisha isindikwe hapa hapa kwetu, na kulisha viwanda hivyo. Hali hii ilitia matumaini makubwa.
Sasa sikumbuki ni lini nimesikia habari zinazohusiana na mikakati hiyo, badala yake, inaelekea hata hiyo pamba kidogo itakayoendelea kuzalishwa, tegemeo letu ni kuwauzia wenye viwanda nchi jirani yetu hasa pale Kaskazini.
Hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana, kwa sababu tunapoteza fursa za waTanzania katika mnyororo mzima wa zao hili muhimu.
Na kwa uhakika, wenzetu hawa wamepania hasa na mikakati yao ya kushika soko zima la ukanda huu katika swala la nguo. Wamefufua viwanda vyao, na hata zao la pamba wakaamua kulima lile la aina mpya, lisiloshambuliwa na wadudu (genetically modified), bila shaka lengo lao likiwa kujitosheleza zaidi kwenye viwanda vyao.
Hata mitumba wameamua kuipiga marufuku, ingawa ndio waliotulazimisha tusalimu amri tulipotishiwa AGOA. Ni wajanja sana hawa watu!
Hili ni eneo moja tu la viwanda, ambalo limemshinda wazi wazi Rais Magufuli kulitilia mkazo unaostahili. Miaka mitano yake yote, mbali ya kuimba kwa nguvu sana hapo mwanzo kuhusu umhimu wa viwanda, mwisho wake, kama ni alama, anastahili F kubwa kabisa.
Rais Magufuli hatatuvusha kabisaa, katika maswala ya viwanda. Labda tutegemee hayo mengine, kama ya Miundombinu, sio viwanda.
Najua kuna maeneo mengine mengi yaliyomshinda, lakini hili la viwanda lipo dhahiri.
Kimebadilishwa na 'wataalam' mkuu K2206, mwanzo hakikuwa hivyo ilivyokisoma sasa.Mbona hujaeleza nguvu ya Magufuli ipo wapi Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nianze na la mwisho…hapana mimi sio mtumishi wa serikali,Umeweka hapa mambo kadhaa yanayostahiri kupewa 'attension'
Sijatumwa, hili liwaze vizuri. Nadhani umelipachika tu hapo bila ya kutilia maanani. Kwa nini nitumwe?
Unasema "nakumbusha upuuzi ulioshamiri enzi ya awamu ya nne" Hebu nipe mfano tu wa niliyokumbusha ambalo ni upuuzi.
Mipango ya kuzalisha pamba kwa wingi ili kukidhi mahitaji ya viwanda vyetu, ni upuuzi?
Kwa hiyo ndio sababu mkazo juu ya hilo ulisitishwa baada ya awamu ya tano kuingia madarakani?
Sijaandika mengine yoyote yaliyofanyika awamu ya nne, isipokuwa hili la viwanda. Hivyo viwanda vilivyofunguliwa mapema kwenye awamu ya tano, vilitokana na 'upuuzi'?
Kuonyesha jinsi usivyokuwa makini, uaneleza mambo ya Bwawa..., una maana baada ya uamzi wa kutengeneza bwawa, mipango iliyokuwepo inaendelea ililazimu isimamishwe kusubiri bwawa?
Hiyo ni serikali ya wapi, inayosimamisha shughuli zake ambazo tayari zipo kwenye utekelezaji kwa vile mipango mipya ndio imeanzishwa! Hili bwawa ni vita?
Kutokana na majibu yako, inaonekana umo serikalini. Ni mtumishi wa serikali kwa kutegemea fadhira. Watu kama nyinyi mnalirudisha nyuma taifa letu.