Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

Mbowe lazima ashikilie nafasi ya Mwenyekiti Taifa hadi ifikapo 2030. Lazima ahakikishe chama hiki kinaendeshwa kitaasisi na siyo kwa mihemuko iendanayo na harakati za kianauharakati.

Uwepo wa wanaharakati ni muhimu sana ndani ya chama, lakini chama hakipaswi kuendeshwa kwa njia ya ajenda zao tu. Kuna mengi ya kufanya ili kukifanya chama kiwe imara zaidi. Maoni kama haya Kamanda Asiyechoka nafikiri yanapaswa kubakia huko huko kwenye vijiwe vyako vya kahawa.
Kwanza huyo kamanda asiyechoka ni uvccm hilo jina ni kama dhihaka tu hawa ni kama kina jilala
 
Uko sahihi kamanda. Mbowe kwa maslahi yake binafsi kaamua kuua upinzani. Hii ni dhambi itakayomtafuna maishani mwake. Kamanda kama Mdude anaonekana kituko tu kwasababu mmiliki wa CHADEMA yuko bize mitaa ya Lumumba.
Unaweza kuthibitisha hili au umeandika ukiwa chooni unajisaidia
 
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda watanzania vichwani na . Wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni
Bila Freeman Mbowe hakuna Chadema!
 
Sasa kama wewe ni Kamanda Mchomvu nguvu unatoa wapi🤔
 
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda watanzania vichwani na . Wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni
Hivi wewe pimbi wa uvccm huna jambo la.kujadili la chama lako chakavu unamuwaza Mbowe tu?
 
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda watanzania vichwani na . Wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni
B7fc mkubwa. Unadhani waliopo hapa jukwaani ni watoto?
 
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda watanzania vichwani na . Wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni
Timu Magufuri wewe huna lolote.
 
Back
Top Bottom