Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda watanzania vichwani na . Wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni
Sawa Halima Mdee tumekuelewa
 
Anatumikia cheo kingine kama Mwenyekiti mwenza huko South!!

Jamaa kaamua kunywa tu
 
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda watanzania vichwani na . Wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni
Acha hizo....
Bila huyo jamaa mngekuwa hampo..
 
Kama CHADEMA hakuna mwingine wa kuweza kuwa Mwenyekiti basi hatuna Upinzani Tanzania. DJ kazima muziki, ngoja Nyumbu tuendelee kukata viuno
Mbona huzungumzii CUF? TLP, CHAUMA ACT, UDP etc? Nini kipo nyuma ya agenda ya uwenyekiti wa chadema na nzi wa kijani wa lumumba?
 
Aah hiyo ilikuwa chadema ya dr silaa. Hata mbowe asingeweza zile harakati za mzee.
 
Back
Top Bottom