Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

Sawa Halima Mdee tumekuelewa
 
Anatumikia cheo kingine kama Mwenyekiti mwenza huko South!!

Jamaa kaamua kunywa tu
 
Ili aje nani suggests na kwa nn pia ueleze
Kama CHADEMA hakuna mwingine wa kuweza kuwa Mwenyekiti basi hatuna Upinzani Tanzania. DJ kazima muziki, ngoja Nyumbu tuendelee kukata viuno
 
Acha hizo....
Bila huyo jamaa mngekuwa hampo..
 
Kama CHADEMA hakuna mwingine wa kuweza kuwa Mwenyekiti basi hatuna Upinzani Tanzania. DJ kazima muziki, ngoja Nyumbu tuendelee kukata viuno
Mbona huzungumzii CUF? TLP, CHAUMA ACT, UDP etc? Nini kipo nyuma ya agenda ya uwenyekiti wa chadema na nzi wa kijani wa lumumba?
 
Aah hiyo ilikuwa chadema ya dr silaa. Hata mbowe asingeweza zile harakati za mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…