'Nguvu ya umma' kumstaafisha siasa za Kenya Raila Amollo Odinga...

'Nguvu ya umma' kumstaafisha siasa za Kenya Raila Amollo Odinga...

Mkuu JAPUONY kama wewe unaijua historia ya Kenya ungetujuza sisi tusioijua.

Ngongo umemgusa JAPUONY pabaya sana.........mambo hay6ajui ila kujitutumua tu...............tumpe pole............
 
Last edited by a moderator:
maskini wafuasi wa Amollo humtukuza odinga kiwango hata ikiwa odinga atawaibia fulusi wazi-wazi mchana, watasema si mwizi bali ni Agwambo yaani Simba.

nakushukuru mkuu @Rutashubanyuma kwa kututembelea. very nice of you, we appreciate it. Those who labor for the truth are few but they that harvest thereof are many.

Kabaridi baada ya uchaguzi huu kuna wengi wanamwombea mema Amollo wataingia mitini......
 
Last edited by a moderator:
HUGO CHAVES siku Uhuru anatangazwa mshindi usikose jamvini kunipongeza kwa kuwa na kionambali...........
kama umegundua kitu uhuru he is not serious enough as if anajua iko kitu inakuja hii inatokana na ICC Case imewaumiza sana kisiasa ila kwa kwa kuwa ni mwanasiasa hana jinsi anajitahidi awepo kwenye historia the only guy who is serious enough ni odinga raila .kuelekea huku mwishoni ukabila hauna nafasi tena ,kwani hii turufu hutumiwa na wanasiasa wanapoona maji yamezidi unga .mkuu ruta tayarisha champagne aina ya chandoon siku ikifika raila sworn as a kenya president .
 
Kabaridi baada ya uchaguzi huu kuna wengi wanamwombea mema Amollo wataingia mitini......

Mkuu ndio niseme laana au baraka yetu wakenya tuliyokabithiwa, ukabila, bali wafuasi wake wasife moyo kwa kuwa kura ndio zitaamua rais ajaye na sio ICC itaamua hatma ya nchi.....

viongozi ambao wameshindwa kupata blessings za raia wake, hakika huvuka mipaka kutafuta baraka za neo-cons, na ndio tunasema where are our statesmen who can carry the vision of the patriarchs who conceived this nation, people who additionally have not lost faith in Kenyans and our abilities to prosper this nation neutrally/independently?
 
RUTA unaweza kuwa mkubwa ki umri lakini ukawa bogus in thinking. Nakala yako umeiandika tarehe 29 Dec.lakini acording to the current political trend in kenya,inaonyesha huna updates whats going on.mudavadi alipokimbia Odm sababu kuu ilikuwa njia itakayotumika kumpata odm flag bearer,huko alipohamia kapakimbia tena,akipingana na njia ya wajumbe aliyokuwa akiidemand odm,je una lolote la kusema abt mm tena?.....RUTA kalonzo na odinga sasa wapo pamoja chini ya mwamvuli wa Cord na wanafanya kampeni zao pamoja.je watambwa hilo? In politics siku zote hakuna rafiki wala adui wakudumu.....RUTA uhuru na ruto ni watoto waliokulia kanu na kulelewa kisiasa na mzee moi,kumbuka moi ndio alimnominate uhuru kuwa mbunge kwa mara ya kwanza na kumpa uawaziri wa local gov,hapo tunaweza sema kanu imerudi kwa njia nyingine,(uhuruto)....RUTA uhuru na ruto wanatumia icc kama njia ya kupata kura za huruma na ndio maana muungano wao ni maarufu sehemu wanapotoka tu.RUTA epuka kucopy na kupaste nakala kutoka kwenye blogs za watu wenye chuki na raila.umekuwa mtu anae eshimika sana humu jf lakini kwa ili umechemsha mkuu.
 
RUTA unaweza kuwa mkubwa ki umri lakini ukawa bogus in thinking. Nakala yako umeiandika tarehe 29 Dec.lakini acording to the current political trend in kenya,inaonyesha huna updates whats going on.mudavadi alipokimbia Odm sababu kuu ilikuwa njia itakayotumika kumpata odm flag bearer,huko alipohamia kapakimbia tena,akipingana na njia ya wajumbe aliyokuwa akiidemand odm,je una lolote la kusema abt mm tena?.....RUTA kalonzo na odinga sasa wapo pamoja chini ya mwamvuli wa Cord na wanafanya kampeni zao pamoja.je watambwa hilo? In politics siku zote hakuna rafiki wala adui wakudumu.....RUTA uhuru na ruto ni watoto waliokulia kanu na kulelewa kisiasa na mzee moi,kumbuka moi ndio alimnominate uhuru kuwa mbunge kwa mara ya kwanza na kumpa uawaziri wa local gov,hapo tunaweza sema kanu imerudi kwa njia nyingine,(uhuruto)....RUTA uhuru na ruto wanatumia icc kama njia ya kupata kura za huruma na ndio maana muungano wao ni maarufu sehemu wanapotoka tu.RUTA epuka kucopy na kupaste nakala kutoka kwenye blogs za watu wenye chuki na raila.umekuwa mtu anae eshimika sana humu jf lakini kwa ili umechemsha mkuu.

Hapo kwenye red tunauliza why you have to engage in adhominem insults? Kuna wakati Raila aliingia kwenye kanu huo wakati moi alipoendorse uhuru, na kujitoa, alifanya hivyo kwa masilahi ya nani? na ingemfaidi nani? tatizo ya mambumbumbu sampuli yenu hawawezi tazama beyond their noses, ndiposa you have negative attitudes matusi and militancy even on simple issues.

Ruta ana skills za utafiti mwafaka, na ningempa A+ kulingana na commentary yake, just using the icc kupiga kelele yaonesha kikundi haina support ya kenya kwa ujumla. Ndio maanA ODM wanawapa wengine kwenye cord direct nominations, BECAUSE there is currently no trust ndani ya CORD. HAWAAMINIANI.
 
Baridi acha propaganda wewe.mimi ni mtanzania lakini kamwe uwezi nidanganya kitu about kenyan politics,nimeso kenya hapo (ku) chaguzi mbili zimenikuta hapo kwenu....nimemuita Ruta bogus kwa sababu article yake amecopy na kupaste.kwa mtu mwenye akili asiyebongolala na kuvaa miwani ya mbao,na kunywa maji ya ukabila kama wewe baridi utagundua kwamba article ya ruta aina current political updates,alafu na wewe baridi nimegundua ni wale wale,ebu nitajie nchi ipi ya kiafrica ambayo aishirikiani na nchi za nje.rao kushirikiana na mataifa mengine sio kwamba anatafuta kungwa mkono ili apate urais lakini anajenga mausiano mazuri na mataifa yaliyoendelea for the benefit of the kenya.unakumbuka moi alivyoshindwa kujibu maswali walipoenda ziarani ulaya.bila marehemu Robert ouko (Rip) kumsaidia kujibu maswali it waz a big shame to the nation.mpaka akamuacha kwa asira baadae wakamua yeye na total man wake.wakikuyu ndio walimuua Tom mbuya(RIP) kijana wa watu alikuwa so briliant and up coming politician.kikuyu mafias wakawa na hofu kwamba mboya waz becoming darling wa watu na western countries.uhuru hawezi kuongoza nchi kwa sababu kuu zifuatazo. 1 wakenya hawapo tayari kuongozwa fugitive president and vp.2 familia ya kenyata imegrab land na mali nyingi sana za wakenya.uhuru na ruto wameshindwa kueshimu pact kati yao na mudavadi je watawaeshimu wakenya?.uhuru anasumbuliwa na mashetani dark forces labda msuba.
 
wewe baridi nimegundua ni wale wale,ebu nitajie nchi ipi ya kiafrica ambayo aishirikiani na nchi za nje.rao kushirikiana na mataifa mengine sio kwamba anatafuta kungwa mkono ili apate urais lakini anajenga mausiano mazuri na mataifa yaliyoendelea for the benefit of the kenya.unakumbuka moi alivyoshindwa kujibu maswali walipoenda ziarani ulaya.bila marehemu Robert ouko (Rip) kumsaidia kujibu maswali it waz a big shame to the nation.mpaka akamuacha kwa asira baadae wakamua yeye na total man wake. wakikuyu ndio walimuua Tom mbuya(RIP) kijana wa watu alikuwa so briliant and up coming politician.kikuyu mafias wakawa na hofu kwamba mboya waz becoming darling wa watu na western countries.uhuru hawezi kuongoza nchi kwa sababu kuu zifuatazo. 1 wakenya hawapo tayari kuongozwa fugitive president and vp.2 familia ya kenyata imegrab land na mali nyingi sana za wakenya.uhuru na ruto wameshindwa kueshimu pact kati yao na mudavadi je watawaeshimu wakenya?.uhuru anasumbuliwa na mashetani dark forces labda msuba.


Mkuu niliwajibika kuingilia kwasababu upande mmoja unasifia Raila bila facts zezote. Bila ubishi ni kweli mboya aliuawa wakati wakikuyu walikuwa uongozini, naye ouko akauawa wanandi wakiwa uongozini, lakini ukiwa makini utagundua nilileta hoja ya Raila kujiunga na kanu, na akawa mshiriki wa uongozi wa giza (wengine watasema kuingia kwake kanu kulikuwa kwa manufaa yake mwenyewe, ili asinyanganywe, mashirika aliyokuwa akimiliki na moi&#8230😉

Ajabu ni mtu atamsifu kana kwamba kuingia kwake kanu kulikuwa na umuhimu kwa wananchi, au sababu zake zilikuwa kuwafikiria wakenya.. Kumbuka wakati wa moi ambapo oppression ilikuwa imefikia kileleni mwake, there was zero rating in-terms of a free media, mambo yalikuwa yamefichika..Lakini sasa hivi kuna mabadiliko..kuboreshwa kwa haki za free media, ina maana hakuna litaweza fanyika hata kwa sekunde kona yeyote mwa Kenya bila wananchi kujua. Pia ni vigumu wanasiasa kuhadaa umati kama ilivyokuwa kitambo, mambo yote yamekuwa wazi wazi.

Kukawa na bahasha la Waki ambayo ilipendekeza watu kumi kutuhumiwa kwenye ICC, ndipo baadaye ikaja ikatambulika kuwa ICC, is a political process ambao inafaidi powerful governments za marekani na uropa ambazo hutoa mchango wao kwenye "global fund". Ikiwa ICC wanataka wakenya wawe na imani na wao, itawabidi wabadilishe nia yao.

Pia nikurejeshe nyuma kidogo… ni mengi yametukia kenya mpaka sasa, kifo cha marehemu waheshimiwa saitoti na ojode, ambao Raila kama mdau wa serikali ya mseto "Coalition government", yeye na wadau wengine wanapaswa kuwajibika na kupatia umati majibu. Nimalizie kwa kusema, kisa cha mudavadi, ni kuwa he is living in dream land…..Kutumia masaibu ya uhuru kujitwika umaarufu..is an opportunist. Hivi bado, licha yake kutemwa na jubilee, ingali anahangaika kwenye corridors za mahakama, kutafuta usaidizi…Ikiwa ni kiongozi kamili, angeendeleza kampeini zake bila kutafuta miungano. The fact of the matter anahangiaikia miungano inaonyesha, hawa hawana manufaa kuwa viongozi.
 
Mkuu libaridi nashukuru post yako ya hapo juu haujanikashifu (insult) kama post ya ya awali.ole back to the topic.it real fact tukiacha upenzi na ukabila pembeni uhuruto bado muda wao wa kuongoza wakenya.kenyans need mature politicians ambao wapo tayari kushirikiana na mataifa yanayo endelea kuimarasha kenya.uhuruto wasubiri after raila regime.saitoto and ojodeh damu yao ina hang mkononi mwa kikuyu mafians.(muthaiga gulf club) ni kweli saitoti aliuwawa kwa sumu aina ya synade,swali langu jepesi kwako.where waz niss kama sijakosea hapa bongo tunawaita tiss.kama sio powerfull state house guy waliona saitoti ni threat kwa project wao mudavadi and uhuru? Why do you wana devert the realty na kuanza ku asociate kifo cha prof wa hesabu na Agwambo? Unakumbuka kwenye mazishi mheshimiwa Jakom alisema tayari walikuwa amesighn secret political pact na saitoti?je unasemaje kuhusu tetesi kwamba prof aliuwawa na Uhuru camp kwa kuhofia muungano wake na Rao? Though prof alikuwa half kikuyu and masai uhuru camp waliona angekuwa threat kwao?.waambie waTZ wenzangu about the history of river chania,tell them abt people like Didan kimathi,poul mwite,Gitobu imanyara,ili watambue kwamba sio wakikuyu wote wanamkubali kenyatta family.kumbuka ufunguzi wa new Rusia hospital kisumu pale odinga snr alivyo mchana live kenyatta snr live,watu wangapi walipigwa risasi na polisi wa kenyatta!kumbuka mazishi ya odinga snr,mh james orengo alivyo wachana live serikali ya kanu ambayo leo inataka kurudi madarakani kupitia uhuruto.kama umesahau ngoja nikukumbushe.aliwambia "aibu kwenu nyie wanafiki ambao leo mmekuja hapa kwa nyuso za huzuni kwa kuzuga kwamba mnaomboleza kifo cha mpendwa wetu,wakati nyie ndio mlimuweka detension bila makaso"moi aliondoka bila hata kula.kibaridi najua wewe ni pro uhuruto lakini nakuomba usipotoshe sisi waTZ kwa kushirikiana na Rutta,sisi waTz hatuna ukabila wala ukanda.kumbuka uhuru alivyo kuja Dar kuomba surport ya baba riz kuhusu kesi yake ya icc.kumbuka utawala wa kibaki kushirikiana na uhuru walivyo muondoa mutula kalonzo kwenye wizara ya sheria na katiba na kumuweka eugine wamalwa kwa sababu alikuwa rafiki wao that time.RUTTA AND KIBARIDI.you can fool some people some time but you cant fool all the people at all the time.nawaomba tukutane baada ya matokeo ya uchaguzi tupongezane wakuu.
 
Mkuu kibaridi,Raila kujoin kanu haikuwa kwa maslai yake binafsi.that was ukombnzi kwa wakenya.kumbuka kwenye siasa unaweza ukaungana na adui yako kusoma weaknesses zake.thats what Agwambo did.na alivyo walk away na wakina saitoti,kamotho,kalonzo na wengine kanu iliyumba na kuanguka.it waz a fall of tyrant rule.sasa leo wale wale waliokuwa wanapinga katiba mpya wanataka kuitawala kenya yenu,wake up man,ebu kumbuka utawala wa moi chini ya kalenjin na kikuyu mafias ilivyowaua watu muhimu katika jamii,wapi father kizito,utawala wa kibaki ukaja ukamalizia kuwapoteza watu muhimu kama Dr odhiambo mbai i waz there at the burial ceremony.nakumbuka siku iyo tumesafiri kutoka nairobi (ku) mpaka homa bay mpaka kochia village kumzika mbai....mkuu kibaridi mimi sipingani na wewe kuhusu siasa za kwenu kenya,lakin namsikitikia mtani wangu Ruta muhaya wa bukoba kama hatumii Id fake kuingilika kwenye propaganda za wakalenjini na wakikuyu wezi wajambazi mungiki ambao mfadhili wao mkubwa leo anataka urais wa kenya yenu kwa udi na uvumba.RAILA NI RAIS WA KENYA AJAYE MPENDE MSIPENDE NYIE KIKUYU AND KALENJIN THUGS.
 
Kibaridi and Ruta,nawaomba msome new year speach speach ya Raila,a true statesmam wakenya msifanye kosa.chagueni Agwambo.
 
Mr. Crucial man,

On a more positive note, Siasa zake Raila is in the similitude of an extrovert, kwanini nasema hivi?!, tayari regionally AM anaelewa hana uhusiano mwema, na marais wa taifa jirani kama kikwete, Museveni na Nkurinznza, na ndiyo maana atavuka hadi mingambo kutafuta uhusiano mwema na watu wa mataifa ya ngambo, (ikiwa hawa ndio watapiga kura au wenye vitambulisho vya kenya nk, nitamuhunga mkono mkuu raila kama nilivofanya mwaka wa 2007). Uhusiano mwema, hutafutwa kwanza nyumbani.

Ulitaja historia na kusema wakati kenyatta alikwenda kufungua hospitali kuu ya russia mjini Kisumu, alikumbana na taharuki, ambapo motorcade yake ilipigwa mawe. Ajabu hilo tukio si geni tena kwa kuwa ilijirudia. Historia hujiandika kwa wakati. Wakatu huu walimgeukia not a kikuyu, but one of their "own" Rafael Tuju and pelted his multi-million dollar automobile with stones, chased away accompanied by the usual ignited effervesent hegemony out of his constituency. It is sad story given that Rafael mweshimiwa had already build a solid connection with his constituents. Kwa ufupi, Tuju akawa an outcast from his own constituency, na wengine wengi wamekuwa stigmatized na outcasts kama miguna.

kumbuka pia wakati huu siasa za upinzani zimebaki tu Afrika, kule ulaya na marekani ambao ndio vigezo vyetu vinalenga rekodi zao kiuchumi na hata kisiasa/demokrasia nk, walitupilia siasa za upinzani. Lakini ajabu hawa hutaka siasa za upinzani zibaki Afrika, kuirudisha Afrika nyuma. Sembuse tu nia ya mkoloni wa jadi divide and rule. Gaawanya wafrika kwa misingi ya kikabila, kidini ndio njia moja ya kutuponza afrika. Sisi tunatazamia kuwa na demokrasia kenya, na sio demokrasia tu, bali demokraisa inayohusisha upande wote of the divide. We want as a country kenya a democracy that is tolerant to divergent views.

Kwa sasa sioni Afrika kama kuna Taifa lina Demokrasia Afrika. Wanasiasa wetu pia wanapaswa kupanda ndege na kuelekea mataifa yaliyostawi, kujifunza mengi kuhusu uongozi na demokrasia na pia wajifunze mengi kuhusu tolerance. Kilichosalia ni waafrika viongozi wamechukua vibango vya demokrasia kwa vyama vyao.

Wakati huu watu wanzungumza kuhusu Zimbabwe kana kwamba imeathirika mno. They resumed using the Dollar. In any case the Zimbabwean scenario is quite different from Kenya, Kwasababu kenya haitafuti kufukuza mtu. Wamejaribu kumpeleka Mugabe kwenye ma tribunal wameshindwa wafanye vipi. Hivi vitisho vya Kenya tuatadhalalika kama zimbwawe is it practical for the kenyan case?! ..Kenya has its own economists well bred. We can maintain parity with world economies and still move on kiuchumi.

Tusubiri mpaka kura ya maamuzi itakapoamua mshindi.....
 
Kibaridi wewe ni mtu ambaye ni hatari sana katika jamii,unauma na kupuliza. Hivi ndugu yako anapoungana na adui yako kukumaliza,utazidi kumchekea tu? Thats was tuju did.kumbuka wakati youthfull mps wakiongozwa na Raila kuingia bungeni kwa mara ya kwanza.alikuepo Tuju,ochilo ayako nk.na bila Raila tuju asingepata ubunge,James orengo ndio alikuwa mbunge wa eneo hilo by that time.lakin orengo alikuwa upande unaompinga odinga akapigwa chini na wanapiga kura wake.kumbuka siasa za kwenu kenya(nimeishi kenya nikiwa nasoma Ku) ni za makabila.kila tribe wana political kingsman wao so anayempinga Raila tena from home land ni traitor huyo....kumbuka Raila ndio alimleta miguna kutoka mafichoni canada,lakin the guy alikuwa hana nidhamu za kiofisi,unakumbuka alivyo missbehave ziarani uganda,unakumbuka alivyograb mic mbele ya wanahabari,unakumbuka alavyokuwa akidemand simu nzuri gari nzuri ofisi nzuri nk.raila akaona huyu hafai ashazoea mambo ya kupigiana kelele mahakamani na wanasheria wenzake sio adminstrator,akampiga chini,eti ndio akaanza kumkashifu raila.je huyo sio adui? ...MKUU KIBARIDI Uliponiacha hoi ni pale unasema raila aelewani na Kikwete,mseveni,nkurunzinza. Sasa Kikwete atamsaidia nini raila,wakati yake yanamshinda,nchi tajiri lakini wananchi maskin,anaulizwa anasema eti ajui sababug.Mtoto wake ndio one of the tycoons wa hapa bongo,wanagrab kila kilichopo,serikali imejaa rushwa kikwete anawaangalia tu.Mtu kama huyo hafai kuwa na urafiki na raila coz ni weak prezo....mseveni ni dikteta ambaye amebaka katiba ya uganda nai kuibadilisha ili atawale milele,mtu kama huyu afai kuwa raila.unakumbuka kisiwa cha migingo bila raila kuingilia kati ingekuwa mali ya waganda siyo yenu tena.....nkurunziza hata asipoelewana na odinga kuna hasara gani?kwanza bado anahangaika kuiconstruct nchi yake yenye makabila mawili tu,na watu wasiozidi milioni 15,yeye bado sana kwenye ulingo wa kisiasa,je mkuu kibaridi unatambua kwamba kuna tetesi kenyatta family wanawekeza biashara zao burundi kupitia kambuni yao ya brooksides na nkurunzinza ndio msimamizi?....wakenya msijidanganye eti you can make it on your own.kumbukeni uchumi wenu unategemea maua na utalii.sasa sijui mtauza wapi maua,au watalii mtawatoa wapi,chai mtauza wapi,kumbukeni zimbabwe walinunua hadi mkate milioni moja per loaf of bread.wakati huo uhuru atakuwa anaenjoy maisha.
 
MKUU KIBARIDI Uliponiacha hoi ni pale unasema raila aelewani na Kikwete,mseveni,nkurunzinza. Sasa Kikwete atamsaidia nini raila,wakati yake yanamshinda,nchi tajiri lakini wananchi maskin,anaulizwa anasema eti ajui sababug. Mtoto wake ndio one of the tycoons wa hapa bongo,wanagrab kila kilichopo,serikali imejaa rushwa kikwete anawaangalia tu. kumbukeni uchumi wenu unategemea maua na utalii.sasa sijui mtauza wapi maua,au watalii mtawatoa wapi,chai mtauza wapi,kumbukeni zimbabwe walinunua hadi mkate milioni moja per loaf of bread.wakati huo uhuru atakuwa anaenjoy maisha.

Rais wa nchi lazima aweze kuhusika na wenzake on a regional level pamoja na kuwa na uhusiano mwema. Tuna organizations Kama IGAD, EAC nk ambazo hujumuisha marais wote wa AM na husimamia shughuli za maendeleo na ulinda usalama kwa mataifa shiriki AM. Kusema tu sio lazima Raila awe urafiki na kikwete M7 na Nkurunzinza, is being myopic ndugu yangu. Remember these institutions have been in existence since antiquity, na ni vigumu kuwa na rais ajaye ambaye atayapuuzilia mbali .Ikiwa Kiongozi hatajumuika na wakuu katika miunganio haya, itakuwa vigumu kwake kuitwaa mamlaka kutumia nguvu za mashirika ya ulaya kama ICC.

*Amani ni muhimu kati ya mataifa jirani. Nikupe mfano wa Afrika magharibi. Sijui ulikuwa wapi mwaka wa 80s wakati moi na mseveni walikuwa hawaaminiani, the result skirmishes ambazo zilikuwa baina ya polisi wa kenya na uganda. Nalimshukuru Mseveni kwa kuweka mtego wa migingo. Hata hivyo nashukulu serikali ya kenya kuwa waliwatuma maafisa wa polisi migingo baada ya kuwaita na kuwatahadhalisha maafisa kutoka serikali ya UG hapa jijini Nairobi dhidi ya upuuzi wao.

*on a region level, kiongozi lazima aweze, kujumuika na viongozi wenziwe AM, Ikiwa Kofi Annan anasema kiongozi lazima aweze kupaa na ndege kwenda nchi za marekani na ulaya, yeye ni muhubiri wa Fikra za kikoloni. Nikitizama ushirikiano kati ya mataifa ya Kigeni na Afrika hua haizai matunda..Pengine kulia sana kwenu ufukara watz ni kutokana na ushirikiano huu. Nasikitika baada ya jubilee tunahangaikia kuhidhinisha masharti ya mkoloni mambo leo. Masaibu ya TZ na umaskini sio kwa sababu ya kikwete, kwa kweli tuhuma ziwaendee, wanaopewa jukumu ya kubuni sera za maendeleo. Muda mwingi utakuta wao kule TZ wanapoteza muda kula mishahara na afisini kujumuika na ma NGO. NGO mengine yana manufaa, lakini nyingi zimekuwa zikijisajili kama makundi ya kisiasa. TZ may have no planners; pengine wanategemea idhini kutoka mataifa ya kigeni.
 
Akilala akiamka kwa takribani miaka 20 hivi, Raila Amollo Odinga amekuwa hafikirii kazi nyingine ila kuwa Raisi wa Kenya na kuhitimisha lile ambalo baba yake Odinga Oginga alishindwa kulifanya.........kuwa mjaluo wa kwanza kutawala Kenya.

Lakini wazungu wana msemo usemao........................"like father like son"...........................nasi bila ya kuachwa mbali hulonga................."mtoto wa nyoka ni nyoka tu"....................sababu zilizomzuia baba yake Raila kuongoza kenya sasa zimeshamiri na baada ya uchaguzi wa 2013 nguvu ya umma itatimiza uhaja huu ambao umekuwa unahitajika ili kuinusuru kenya kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hapa ninaambatanisha sababu 10 kuthibitisha mtazamo huu:-

1) Historia hujirudiarudia yenyewe.

Baba yake Raila aliombwa na Mkoloni mwingereza aongoze Kenya mpya lakini kwa kuelewa ya kuwa waliopigania uhuru wa Kenya ni wakikuyu kupitia Maumau na akina Jomo Kenyatta, Oginga alikataa na kudai hakuna kuongelea uhuru hadi Kenyatta afunguliwe kutoka jela. Kauli hiyo ndiyo iliyomsaidia Oginga kuukwaa umakamu wa uraisi na sababu yake kuu hakuwa na mikwaruzano na wakikuyu bali aliwaunga mkono kwenye azma yao ya kukamata dola. Oginga alipokosana na kenyatta basi hata hicho cheo alipokonywa mchana kweupe.
Fundisho hapo ni kuwa kama Raila angelikuwa ana mkakati madhubuti wa kuwa Raisi wa kenya alipaswa kujenga miundo mbinu za nguvu na wakikuyu badala ya kuwabeza kuwa ni wakabila kwa kudai huwa hawachagui mtu yeyote isipokuwa wa kabila lao................na kubeza michango ya wakikuyu kwa kudai katiba mpya ifute kenyatta day na kuiita mashujaa Day...............jingine ni kudai hela ya kenya inamuenzi Kenyatta kwa sababu ni mkikuyu au hata kutohudhuria siku ya kumbukumbu ya kifo cha kenyatta.........

2) Kuunguza madaraja ya kisiasa

Raila alikuwa kinara wa kumkataa Uhuru Kenyatta mwaka 2002 na hata kushawishi baadhi ya viongozi wa Kanu akiwemo Kalonzo Musyoka kuikimbia Kanu na kuisababishia maumivu makali. Pamoja na kufanikiwa kupata kuungwa mkono na wakalenjini katika chaguzi ya 2007 lakini aligombana na William Rutto na hivyo kushindwa kulinda muungano wao na sasa kumgharimu.

Hata akina Rafael Tuju ambao wanatoka kabila lake, Raila amekuwa akiwabughudhi kwa kisa hawamwuungi mkono yeye!
Machafuko ya kujaribu kumpindua Moi mwaka 1982 kwa kiasi kikubwa yalichochewa na Raila na wapo wanajeshi wengi nchini Kenya ambao amejenga nao uhasama kwa tukio hilo na kufanya kuwa ni vigumu kuungwa mkono na majeshi ya Kenya hususani vinara wajeshini...............

3) Kumuunga mkono Kibaki mwaka 2002 bila ya MOU inayoeleweka.

Hata juzi kwenye hafla ya kutangaza muungano wao, Kalonzo Musyoka alimlaumu Raila kwa kuingia makubaliano na kibaki bila ya MOU inayoeleweka na matokeo yake kibaki aliwatimua kazi pale walipokosana naye. Kama wangelikuwa na MOU Kibaki asingeligombea muhula wa pili kama alivyokuwa kawaahidi hapo awali na baada ya kipindi kimoja tajwa, umaarufu wa Raila mwaka 2007 ungelimwezesha kuwa Raisi.

4) Kumsaliti William Rutto Uwaziri mkuu.

Katika makubaliano ya Raila na Rutto mwaka 2007 yalikuwa Rutto lazima awe Waziri Mkuu. Sasa alipoona kaukosa uraisi badala ya kuheshimu makubalino yake na Rutto akamnyang'anya Rutto ugali wake......................kama Rutto angelikuwa waziri mkuu leo Raila angelikuwa ana nafasi nzuri ya kuwa Raisi kwa sababu kura zote za wakalenjini zingelikuwa za kwake..........na kwa kuwa waziri mkuu Raila kawapa nafasi wapiga kura kumpima na utendaji wake haujawafurahisha wengi........................angelijifunza hapa TZ ukimwondoa J.K Nyerere hakuna Waziri Mkuu ambaye aliwahi kuwa Raisi na sababu alitusaidia Sumaye pale alipokuwa anatoa hotuba yake ya mwisho kama Waziri Mkuu na kuwalaumu wabunge kumchukia wakidhani yeye ndiye anawasumbua kwenye majimbo yao..............................somo hapo ni kuwa uwaziri mkuu na mahali pa kumsaidia Raisi siyo mahali pa kujijengea umaarufu wa bei poa wa kuwa Raisi...................Lowassa angelijifunza hapo kama Kawawa alivyojifunza

5) Upendeleo wa ajira kwa ndugu zake (nepotism)

Moja ya mapungufu makubwa ya Raila ni kuwa bunge la Kenya limekuwa likihoji juu ya teuzi nyingi ambazo Raila amekuwa akizifanya serikalini ambazo zimekuwa za kupendelea ndugu zake wa karibu ambayo ni mbaya zaidi ya hata ya ukabila........................yaani hii ya Raila ni "nepotism".

Tatizo ni kuwa watu wanapokuhusisha na kuwabagua ujue kukuchagua wakati wakijua fika huna mpango wa kuwasaidia bali wewe sera yako ni kubeba ndugu zako tu, kukuchagua inakuwa vigumu sana........

6) Kumtegemea Obama na ICC kumpa Uraisi!

Huu ni sehemu ya upumbavu mkubwa kichwani mwa Odinga..........mara nyingi amekuwa akijifananisha na Obama wakati Obama hakulelewa kwenye misingi ya ukabila wa hapa Afrika...........amekuwa akihoji kwanini iwe rahisi kwa wazungu kumchagua mjaluo na Kenya inakuwa shida aisichojua wazungu hawakumchagua Obama kwa sababu ya Ujaluo wake bali kwa kukidhi vigezo vya mahitaji ya siasa za marekani..........period!

ICC imetumika kuwachafua Uhuru na Rutto kwa tuhuma ambazo zilipikwa na wafuasi wa Raila waliomo kwenye NGOs na KNHRC.................na wengineo tunawaona sasa wamekuwa wasemaji wakuu wa kampeni ya Raila na ODM............................tatizo la ICC ni kushindwa kuwafungulia mashitaka Kibaki na Raila. Vilevile ICC wameshindwa kutoa maelezo ya kina kwanini vurugu za Kibera ambako Raila ni mbunge na kisumu hazikufunguliwa mashitaka ICC pamoja na watu wengi kufa na kupoteza mali zao kwenye maeneo hayo? Koffi Annan na fisadi Ken Mkapa wanafikiri ya kuwa wanaweza kutumiwa na Marekani na Ulaya kuishinikiza Kenya kumchagua Raia kuwa Raisi na hivyo kibaraka wa nchi matajiri duniani ziendelee kulinyonya taifa hilo......................wasichojua walinzi wa mwisho wa utaifa wa Kenya ni wakikuyu kama vita vya maumau vinavyotufunza.......................makabila mengineyo aidha yalikaa kimya au yalimsaidia mwingereza kuzima vuguvugu la uhuru nchini humo.
Jana usiku kwenye taarifa ya habari ya saa 3 usiku kwenye luninga ya the CITIZEN, mbunge wa kuteuliwa mwanamama Shebeesh aligusia masuala haya ingawaje alikuwa akiilaumu Ikulu na kibaki kwa kutaka kushinikiza Uhuru aachie ngazi kwa Musalia Mudavadi...............

Uchaguzi huu utamkataa Amollo kwa kuwa ni kipenzi cha ukoloni mamboleo...........

7) Kumnyanyasa Makamu wa Raisi Kalonzo Musyoka.

Raila Odinga katika khali isiyo ya kawaida amekuwa akitumia muda mwingi kupigania "seniority" kati yake na Musyoka.......................akidai baada ya Kibaki ni yeye............nilimshangaa jana kwa mara ya kwanza tangia awe Waziri Mkuu alikwenda kumtembelea Kalonzo ofisini kwake......................siyo kwa sababu anamheshimu bali kumshinikiza awe namba mbili wake kwenye uchaguzi ujao!.............How pathetic!

Unapojikuza ujue Muumba atakushusha tu..........................na Raila katika kudai makuu sasa inabidi aoshe unyayo wa Kalonzo ambaye amekuwa akimdharau sana........................katika miaka 5 iliyopita................na uzoefu unaonyesha mwisho wa yote muungano wao utaishia pabaya kabla ya uchaguzi..................

8) Kuizuia demokrasia kufanya kazi yake ndani ya ODM


Hili linashangaza lakini ni ukweli. Musalia Mudavadi kisa ya kuikimbia ODM ni pale alipobaini katiba yao tayari ilimtamka Raila ndiye mwenye sifa za kugombea uraisi kupitia chama hicho bila ya kuweka utaratibu shirikishi, wazi na ambao utakuwa na misingi ya utu ya kumpata mgombea uraisi wa chama hicho......................

Sasa Musalia kajiunga na mahasimu wa Raila wakiongozwa na Uhuru na "majuto ni mjukuu..............:'

9) Saa ya "Kizazi kipya" imewadia.............

Kutokana na ukweli na bila ya kujali makabila yao, vijana nchini Kenya wamechoshwa na wazee na Raila ambaye ana umri wa miaka 73.............................hana mvuto kwa kizazi kipya...................huo ndiyo ukweli wake.............kuchaguliwa na hiki kizazi cha dot.com ni njozi ya kufikirika tu.........

10) kukabiliwa na kutetea watuhumiwa wa ufisadi.

Moja ya mvuto wa Raila ulikuwa anachukia ufisadi lakini la ajabu alipoingia kwenye meza kuu ya mlo amekuwa akitumia watoto wake kufanya ufisadi kama ule wa kashfa ya mahindi.....................watu walikuwa wanakufa na njaa Raila akaona kivuno kwake!

Swahiba wa Raila, Charity Ngilu alipokuwa kashikwa pabaya na taasisi ya kuzuia Rushwa nchini Kenya.............Raila alikuwa mstari wa mbele kumtetea bila ya kujali mabwawa kibao hayakuchimbwa au yalichimbwa kwa viwango vya chini na mabilioni kutoweka........na miradi ya maji ni nyeti sana katika kumkomboa masikini mnyonge kwenye ufukara wake................Raila alipokuwa upinzani alijiita ni "mkombozi wa wanyonge"................................lakini kila mmoja sasa anajua hizo zilikuwa ni ghiliba..........

HITIMISHO.

1) Kutokana na uchu wa madaraka wa taswira ya Amollo ni dhahiri ya kuwa ni nguvu ya wananchi ndiyo tu itamwondoa kwenye anga za siasa za kenya na Afrika haina muda mkubwa wa kulisubiria hili............kwa hamu kubwa.

2) Kustaafu kwa Raila kwenye anga za siasa za kenya kutapunguza sana misuguano ua kikabila nchini humo.........



Mmh! sikujua kama tunao ndugu zetu wanaozungumzia zaidi ukabila badala ya umoja,
Samahani sisi wa TZ ni wamoja hatujui kabila gani bora kuliko lingine, sikatai ulo sema lkn kwetu hayana tija.
 
Mmh! sikujua kama tunao ndugu zetu wanaozungumzia zaidi ukabila badala ya umoja,
Samahani sisi wa TZ ni wamoja hatujui kabila gani bora kuliko lingine, sikatai ulo sema lkn kwetu hayana tija.

Jalem Ninachowasifu wakenya siyo wanafiki kama sisi wao wanatambua tatizo nma kulifanyia kazi sisi kwa kulikataa tatizo tunajinyima nafasi ya kulishughulikia...................ukabila TZ upo na unatutesa sana
 
Last edited by a moderator:
Kibaridi wewe ni mtu ambaye ni hatari sana katika jamii,unauma na kupuliza. Hivi ndugu yako anapoungana na adui yako kukumaliza,utazidi kumchekea tu? Thats was tuju did.kumbuka wakati youthfull mps wakiongozwa na Raila kuingia bungeni kwa mara ya kwanza.alikuepo Tuju,ochilo ayako nk.na bila Raila tuju asingepata ubunge,James orengo ndio alikuwa mbunge wa eneo hilo by that time.lakin orengo alikuwa upande unaompinga odinga akapigwa chini na wanapiga kura wake.kumbuka siasa za kwenu kenya(nimeishi kenya nikiwa nasoma Ku) ni za makabila.kila tribe wana political kingsman wao so anayempinga Raila tena from home land ni traitor huyo....kumbuka Raila ndio alimleta miguna kutoka mafichoni canada,lakin the guy alikuwa hana nidhamu za kiofisi,unakumbuka alivyo missbehave ziarani uganda,unakumbuka alivyograb mic mbele ya wanahabari,unakumbuka alavyokuwa akidemand simu nzuri gari nzuri ofisi nzuri nk.raila akaona huyu hafai ashazoea mambo ya kupigiana kelele mahakamani na wanasheria wenzake sio adminstrator,akampiga chini,eti ndio akaanza kumkashifu raila.je huyo sio adui? ...MKUU KIBARIDI Uliponiacha hoi ni pale unasema raila aelewani na Kikwete,mseveni,nkurunzinza. Sasa Kikwete atamsaidia nini raila,wakati yake yanamshinda,nchi tajiri lakini wananchi maskin,anaulizwa anasema eti ajui sababug.Mtoto wake ndio one of the tycoons wa hapa bongo,wanagrab kila kilichopo,serikali imejaa rushwa kikwete anawaangalia tu.Mtu kama huyo hafai kuwa na urafiki na raila coz ni weak prezo....mseveni ni dikteta ambaye amebaka katiba ya uganda nai kuibadilisha ili atawale milele,mtu kama huyu afai kuwa raila.unakumbuka kisiwa cha migingo bila raila kuingilia kati ingekuwa mali ya waganda siyo yenu tena.....nkurunziza hata asipoelewana na odinga kuna hasara gani?kwanza bado anahangaika kuiconstruct nchi yake yenye makabila mawili tu,na watu wasiozidi milioni 15,yeye bado sana kwenye ulingo wa kisiasa,je mkuu kibaridi unatambua kwamba kuna tetesi kenyatta family wanawekeza biashara zao burundi kupitia kambuni yao ya brooksides na nkurunzinza ndio msimamizi?....wakenya msijidanganye eti you can make it on your own.kumbukeni uchumi wenu unategemea maua na utalii.sasa sijui mtauza wapi maua,au watalii mtawatoa wapi,chai mtauza wapi,kumbukeni zimbabwe walinunua hadi mkate milioni moja per loaf of bread.wakati huo uhuru atakuwa anaenjoy maisha.

Crucial Man atakuwaje Kabaridi mtu hatari kwa kutuelezea ukweli?
 
Last edited by a moderator:
RUTA unaweza kuwa mkubwa ki umri lakini ukawa bogus in thinking. Nakala yako umeiandika tarehe 29 Dec.lakini acording to the current political trend in kenya,inaonyesha huna updates whats going on.mudavadi alipokimbia Odm sababu kuu ilikuwa njia itakayotumika kumpata odm flag bearer,huko alipohamia kapakimbia tena,akipingana na njia ya wajumbe aliyokuwa akiidemand odm,je una lolote la kusema abt mm tena?.....RUTA kalonzo na odinga sasa wapo pamoja chini ya mwamvuli wa Cord na wanafanya kampeni zao pamoja.je watambwa hilo? In politics siku zote hakuna rafiki wala adui wakudumu.....RUTA uhuru na ruto ni watoto waliokulia kanu na kulelewa kisiasa na mzee moi,kumbuka moi ndio alimnominate uhuru kuwa mbunge kwa mara ya kwanza na kumpa uawaziri wa local gov,hapo tunaweza sema kanu imerudi kwa njia nyingine,(uhuruto)....RUTA uhuru na ruto wanatumia icc kama njia ya kupata kura za huruma na ndio maana muungano wao ni maarufu sehemu wanapotoka tu.RUTA epuka kucopy na kupaste nakala kutoka kwenye blogs za watu wenye chuki na raila.umekuwa mtu anae eshimika sana humu jf lakini kwa ili umechemsha mkuu.

Crucial Man Sifa ya kwanza ya kuwa Raisi wa Kenya tangia Kenya ipate Uhuru lazima mgombeaji na atakayeshinda Uraisi awe alikuwa na wadhifa mkubwa ndani ya kanu............Raila alikuwa katibu Mkuu wa kanu, Kalonzo...organizational secretary.....................................Uhuru................vice chairman.........................Rutto.................secretary General...................

mimi sipokei heshima kutka kwa mwanadamu......period.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom