Nguvu ya uwanaume inapotea kwenye jamii, wanaume tufanyaje?

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
2,231
Reaction score
3,737
Wakuu habari za jioni hii.

Hili ni andiko huru kwa watu huru, wa jinsia zote, na mlengo ni kuwekana huru kifikra.

Mwanaume tokea Karne za nyuma anafahamika kuwa na sifa za uongozi kwenye Dunia, kuongoza nchi,kuongoza jamii na familia. Kitabu Cha mwanzo kinaelezea vizuri role ya mwanaume, MUNGU alianza kumuita Adamu kindi wamejuficha baada ya kula tunda, kwanini siyo hawa? Kwasababu Mwanaume ni kiumbe namba moja katika hii Dunia.

Uislam pia unaelezea kazi na majukumu ya mwanaume kwenye nchi, jamii na familia.

Wanawake wanaelewa vizuri, kazi na majukumu ya mwanaume katika jamii.

Kibaya zaidi.... Wanaume wengi hatujui kuishi uwanaume wetu, hatujui jinsi ya kuwa wanaume. Ukifanya tafiti ndogo tu, sanasana kwenye jamii za makabila ya kaskazini, wakurya na wajaluo, haya makabila yana desturi nzuri ya kutengeneza fikra za mgao wa majukumu baina ya jinsia zote mbili, interaction na makabila mengine especially hapa dar yanaanza kufifisha desturi Yao.

Sad enough ni kwamba, picha ya Dunia inaonyesha, 90% ya wanaume hawaonyeshi kuwa na taswira ya kiume. Wamekuwa watumwa wa ngono na kuyumbishwa, hawataki kuishi kwa kufata misingi ya wanaume wa kizazi Cha Karne za Kwanza.

Tatizo hili Bado ni kitendawili, wanaume hatujui tunatoboaje hapa, maana nguvu kutoka upande wa pili pia inahitajika.
 
Huu ni utangulizi nenda kwenye hoja
 
Yote haya ni kutaka kum impress mwanamke
 
Punguza ngono na pombe. Tafuta maarifa na jielimishe katika fani yako. Tengeneza network ya watu wenye mlengo sawa na wako. Weka malengo ya muda mrefu. Jali afya yako kwa kufanya mazoezi, kula vyema. Soma vitabu.
 
Wanaume wengi walipoteza pambano zamani sana-
1. Mlivyoanza kwenda na wake zenu kliniki mchezo ulianzia hapo-

2. Kiuchumi mwanaume mnachangia maendeleo ya famili na mwanamke

3.Mwanaume kwenda kulala ukweni-
4.Mwanaume kula nyumbani kila siku-
5.Mwanaume kulala nyumbani kila siku-
6.Mwanaume kufua, kupika,kutosha vyomo na kuita majukumu ya nyumbani hobby-
7.Kuish na ndugu wa mke- hasa wa kiume
8.Kumpa biashara kubwa- above 50M
9.Kumuonyesha miradi yako yote-
10.Kulia Lia kama toto dogo

Game ndio iliishia hapo- mliwaita wazee wenu wenye tuwake tuwili au tutatu wakoloni-

Kwa Africa babu zetu were living there best-

Sasa mtakula chumvi - weak men die very early-

Whatever you do with this information is up to you
 
Mambo ya 50/50. Mkeka ulianza kuchanikia hapo
 
Lazima tukiri kuna tatizo....
Sasa hivi utashangaa wanaume ndio wamejazana kwa kuchangia hoja za udaku kama kina dada
Lakini pia naona aibu kuona wanaume kucha kutwa wanatukana tuuuu huku mitandaoni kama vile wana matatizo ya Afya ya Akili badala ya wanaume kujikita kujali changamoto na kuzitolea ufumbuzi
Nafikiri hii changamoto ya watoto wengi kulelewa na mzazi mmoja wa kike (Single mother) inachangia kuwa na wanaume wengi wenye tabia za kike....
 
Wakuu habari za jioni hii.

Hili ni andiko huru kwa watu huru, wa jinsia zote, na mlengo ni kuwekana huru kifikra.

Mwanaume tokea Karne za nyuma anafahamika kuwa na sifa za uongozi kwenye Dunia, kuongoza nchi,kuongoza jamii na familia. Kitabu Cha mwanzo kinaelezea vizuri role ya mwanaume, MUNGU alianza kumuita Adamu kindi wamejuficha baada ya kula tunda, kwanini siyo hawa? Kwasababu Mwanaume ni kiumbe namba moja katika hii Dunia.

Uislam pia unaelezea kazi na majukumu ya mwanaume kwenye nchi, jamii na familia.

Wanawake wanaelewa vizuri, kazi na majukumu ya mwanaume katika jamii.

Kibaya zaidi.... Wanaume wengi hatujui kuishi uwanaume wetu, hatujui jinsi ya kuwa wanaume. Ukifanya tafiti ndogo tu, sanasana kwenye jamii za makabila ya kaskazini, wakurya na wajaluo, haya makabila yana desturi nzuri ya kutengeneza fikra za mgao wa majukumu baina ya jinsia zote mbili, interaction na makabila mengine especially hapa dar yanaanza kufifisha desturi Yao.

Sad enough ni kwamba, picha ya Dunia inaonyesha, 90% ya wanaume hawaonyeshi kuwa na taswira ya kiume. Wamekuwa watumwa wa ngono na kuyumbishwa, hawataki kuishi kwa kufata misingi ya wanaume wa kizazi Cha Karne za Kwanza.

Tatizo hili Bado ni kitendawili, wanaume hatujui tunatoboaje hapa, maana nguvu kutoka upande wa pili pia inahitajika.
Shida ilianzia Beijing.....kikubwa simamisha mboroh
 
Mabadiliko yanaanza na wewe..

Mimi nilishakataa hayo mambo ya kuwa weak kwa vitendo..
 
Back
Top Bottom