Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

Nilishahama mkuu na haya mambo bado yanasumbua
Mkuu jaribu kutumia tiba ya dagaa kutibu matatizo kama hayo ya majini na mizimu, nunua zako dagaa wa kutosha kisha utwange hadi upate unga halafu uwe unatia kwenye maji ya kuogea uwe unaogea ni tiba nzuri.

Kama hauwezi mtafute mdada mmoja anaitwa Tabibu Lois akufanyie maombi.
 
Sawa Mkuu nitafanya hivyo
 
Akili yako haijafungwa wala.

chumba chako kisafishe kwa chumvi ya mawe na wewe pia unaoga na hiyo chumvi ya mawe mara kwa mara.

Achana na habari za waganga utapoteza nguvu zako.

Hama hiyo sehemu kabisa na toa mawazo hayo ya kufungwa.
 
Lakini huduma ya kiroho nayo sahivi imekaa kibiashara mnoo.....kuna mchungaji kumuona anatoza mbaka laki6.....na ukimaliza nae unatoa na sadaka kuna chombo pale pembeni ya meza yake
 
Akili yako haijafungwa wala.

chumba chako kisafishe kwa chumvi ya mawe na wewe pia unaoga na hiyo chumvi ya mawe mara kwa mara.

Achana na habari za waganga utapoteza nguvu zako.

Hama hiyo sehemu kabisa na toa mawazo hayo ya kufungwa.
Mkuu hilo ndio suluhisho au huduma ya kwanza?
 
Nipo kwenye dilema nikubaliane na mambo ya kutambika au niendelee huku niliko upande wa Makanisa, japo kiukweli napata vita kubwa kila napopigana na hizi nguvu makanisani.

Neno mzimu kwa tafsiri nyepesi linamaanisha nafsi ya mtu au watu waliokufa lakini hawajapata nafasi ya kutulia mahali zinapotulia roho, hivyo hurudi duniani zikitafuta miili ya ndugu zao ili ziwavae na kuwaongoza kutimiza hatma ya mtu aliye hai au huenda na kutulia kwenye baadhi ya maeneo kama mapango au miti na watu walio hao huenda kufanya ibada za mizimu mahali hapo...

Sasa swali, je wewe mwana wa adamu uliye hai, iweje uabudu viumbe waliokwisha kufa?
 
Hekima imetumika[emoji120]
 
Kweli umefungwa na madhabahu ya ukoo
 
Ningekusaidia kimawazo lakin am tired of such stories, mambo ya kiroho yamenichosha sana sio mambo ya kidini wala kimizimu n.k ni ushenzi wakat mwingine...


Nikuombe kitu toa fikira zako zote kuhusu mambo ya kiroho kabisa. Forget about mizimu forget about hayo makanisa, usiende makanisani kupambana na Mizimu. Nenda kajiombee acha kusononeka nakujinenea kuhusu sijui hufanikiw unakataliwa sijui mizimu inakusumbua ww ishi kawaida kula bia, kula kitimoto, kula malaya tafuta rizik yko ya jasho ishi kw furaha acha iman iman zszo na mwelekeo sbb mambo meng yanaanza na fukra zko pia
 
Kuna kijana tumemzika last year, aliamua kujiuwa tu hakutaka kabisa kukubali kuwa mganga, walikuwa wanamtesa sana kuuumwa tu maisha hayaeleweki kijana wa watu akajinyonga.
Mbona waganga wana maisha mazuri tu na hela nyingi? Mganga maana yake daktari wa asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…