MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
Asantee kwa taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah unataka kusemaje?mbna upinde umeujaza mkulu vipi tena
Kwani nikiacha bila kufunika nini kitatokea mkuu ?angalizo hili
Unapomaliza kutumia kioo Kwa kujiangalia kifunike yaani usikiache wazi ni kama kioo kipande kifunike juu chini na kama vya dressng table tafuta jinsi ya kukifunika na kitambaa au panzia aina yeyote ilee ila usipendelee kutumia kioo na ukakiacha wazi
Kwani nikiacha bila kufunika nini kitatokea mkuu ?
wachawi wanaibeba na kwenda kumudhuru mtu ndotoni halafu picha yako ndo inaonekana mbadala yaoMarehemu bibi yangu alikua ananikataza kujiangalia kwenye kioo nyakati za usiku, sikujuaga kwanini
Poa usiwazeMniamshe saa tisa Usiku sasa
Ushahidi11. Mwisho kabisa japo yapo mengi unaweza kumuita Mtu aliyekufa akatokea kwenye kioo na mkaongea naye ukamueleza shida zako akakuelekeza namna ya kufanya kutatua shida zako ila unatakiwa kuwa na ujasiri kwakuwa tukio hilo unatakiwa kulifanya usiku wa kuanzia saa sita kamili mpaka sa tisa hapo kati au sehemu ambayo imetulia sana hakuna kelele."
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo nakutana na makankasha nimetoka kwa nabii naambiwa Sada kaniibia manii naingia huku nakutana na kioo.Kivumbi leo.
Kafanye upate ushahidiUshahidi
Mbona nimetoa angalizo kuwa tusichangie kwa mihemuko ya imani au una nia tu kunitukana.Acha kupoteza watu akili na mambo ya kishirikina na imani zenu za uchawi na ushirikina izi.
Mambo yote ulioyaeleza humu kuhusu kioo kama taswira mbalimbali zinaweza toka kwenye kioo ni mambo yanaelezeka na kujibika vizuri tu kisayansi hasa kifizikia.