Nguvu za kioo na miujiza yake: Wale wenye imani zenu njooni hapa


We uliona nin,?
 
Ndio maana ukimuonesha paka ,mbwa kioo wanakurukia kutaka kupigana
Mbwa wetu akiona kioo anakurukiaa

Ila mamb Ni mengi unaweza kuambiwa hata ndio chanzo Cha kukoza kaz
 
Ndio maana ukimuonesha paka ,mbwa kioo wanakurukia kutaka kupigana
Mbwa wetu akiona kioo anakurukiaa

Ila mamb Ni mengi unaweza kuambiwa hata ndio chanzo Cha kukoza kaz
Anakurukia Kwa sababu anakuwa amemuona mbwa au paka mwezie, 🀣
Kuwa makini ankoli πŸ˜‚
 
Nitarudi. Ngoja nijaribu kumuita marehemu bibi yangu kwa kutumia kiooo
 
Ndo maana Huwa inakatazwa watoto wadogo under 5 kuwatazamisha vioo.
Kioo ni sawa na photocopy kinabakisha taswira yako.
Mchawi hakishatazama tu kioo akapata taswira yako tu kakupata wewe

Mkuu taswira zetu zipo usoni sio mpk kwenye kioo [emoji23][emoji23]alaf hakina mambo kama mleta mada alivozidisha
 

Number 5 watu wenye vibration [emoji23][emoji23][emoji23]ndio ivi kuna mtu mwenye vibrations kweli au ndio wale wanaotetemeka kila mda
 
Inawezekana. Huwa tunaambiwa usimtazamishe mtoto kioo maana atapata mshtuko wakati kalala. Sijui hili nalo ndio linahusika
 
Je kuna madhara yoyote ya kujitazama ukeni kwa kioo kila siku nmekuwa nilifanya Ivo now nakaribia miaka miwili ninashida ukeni huwa naaiangalia kwa kioo kwa kila siku karibia mara 3 au zaido na natumia dawa siponi shida yangu kila ikiisha shida moja inaibuka nyingine
 
Siyo vizuri hata kidogo, na jambo hili la kioo liliibuka baada ya actress mmoja wa Niger (jina nimelisahau) hivi karibuni kujutia kitendo chake cha kujitizama kwenye kioo akiwa uchi. Alieleza mengi yaliyomkuta hadi akaamua kukiuza. So usiwe na mazoea sn.
 
Huu upuuzi wa kufikirika,mpaka lini bandugu?Dunia inaenda kwenye space kutafuta dark matter and energy,sisi bado tupo kwenye hizi abracadabla?
Ndio maana tunapigwa kila kona,wanasiasa wanauza rasilimali za nchi,vyombo vya habari vimekuwa makuwadi wa michezo ya kubet,kila saa matangszo ya kufwa milionea!!wanatuaminisha tukicheza tutakuwa mamilionea,kwanini wao hawachezi na bibi zao!!
Kwenye Imani,huko unaambiwa leta pesa ili Mungu akubaliki!! Upuuzi kila kona,
Kama Dubai, Johannesburg,Paris,ilijengwa kwa kufuata hizi Imani,onyesha NAMI nitakubali,kama sio,prease spare us of this fucking shit bro!!tuna matatizo mengi,uchumi,afya,lishe,
Elimu,hatuhitaji kuongezewa upuuzi
 
Umechek HIV?unaweza kuwa ni sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…