Bless mom
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 948
- 2,040
Yaaaaan nikiri tu kwamba Kuna mahali tunafeli😅Mimi naona wanasahau wajibu wao kila siku, mtu anaweza kujishangaa kwanin haolewi ila kumbe sababu ndio kama hizi.
Nikujali wewe, nikupe hela wewe, kitandani nikuangaikie wewe, ukiwa na shinda nikuliwaze mimi...
Jamani sisi wanaume tunasaidiwa wapi sasa ..??? 😃