Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

Poleni sanaaa...ukweli na usemweee sometimes tunawatesaa Sana humu ndoani
Mwaka Jana,
Nilileta Uzi wa maudhui kama Huu,
Sema wengi humu hawakuchukulia serious.ila Ni wengi TU tunateseka na hili.

Afu bado Kuna mtu anashangaa kwann wanaume wengine
tunakua na Michepuko.

Kiuhalisia Hali Hii tusidanganyane mwanamke mmoja hatoshi kabisa.

Tukinga'angana ndo Yale tunapewa kesi za ubakaji ndani ya ndoa.

Hivi nyie wanawake
Kwanini mnatupuuza?
Hivi mnataka hiki kilio chetu Nani atusikilize jamani?
emoji22.png
View attachment 2397484

Mwaka Jana,
Nilileta Uzi wa maudhui kama Huu,
Sema wengi humu hawakuchukulia serious.ila Ni wengi TU tunateseka na hili.

Afu bado Kuna mtu anashangaa kwann wanaume wengine
tunakua na Michepuko.

Kiuhalisia Hali Hii tusidanganyane mwanamke mmoja hatoshi kabisa.

Tukinga'angana ndo Yale tunapewa kesi za ubakaji ndani ya ndoa.

Hivi nyie wanawake
Kwanini mnatupuuza?
Hivi mnataka hiki kilio chetu Nani atusikilize jamani?[eeem
 
Back
Top Bottom