Yaaaaan nikiri tu kwamba Kuna mahali tunafeli๐Mimi naona wanasahau wajibu wao kila siku, mtu anaweza kujishangaa kwanin haolewi ila kumbe sababu ndio kama hizi.
Nikujali wewe, nikupe hela wewe, kitandani nikuangaikie wewe, ukiwa na shinda nikuliwaze mimi...
Jamani sisi wanaume tunasaidiwa wapi sasa ..??? ๐
Kwa hiyo unashauri nini kifanyike bidada?Yaaaaan nikiri tu kwamba Kuna mahali tunafeli๐
Kifupiii huwaa tunachokaa hasa kwa mume na mkeee jamani sometimes mpk tunatamani show za njeeee...na vile mnatuchukuliaa poaaa no vikolombwezoooKwa hiyo unashauri nini kifanyike bidada?
Mnatakaaa tubinukee mpk tubinukee tenaaa๐ ๐ basi muwwe mnatuandaaa kisaikolojiaa mapemaaa jaman tuna mamboo mengi kichwaniiTunawaandaa lakini wakati wa shoo muwe watundu na nyinyi. Msiwe wabinafsi mnataka mridhishwe nyie tu na sisi tunataka tuenjoy pia
Kwa kwelii hawajui tuu kuwaaaa nasi huwaa tunatamani jamboo jipyaaa...inachoshaaa basi tuuuuSio kama hatutaki, inachosha kila siku....
Na mkizoeana ndo kabisa maandalizi zero.
Pia mwanaume huyo huyo kila siku miaka na miaka anachosha.
bibie naitaji namba zako haraka sana natak tuongee kiduchu ๐Huwezi shindana na tundu, msumari ukipinda ujue hauko imara huwezi sema mbao haiko imara. Lenga Mkuu,yaan mulemule
Sawa tumesikiaTunawaandaa lakini wakati wa shoo muwe watundu na nyinyi. Msiwe wabinafsi mnataka mridhishwe nyie tu na sisi tunataka tuenjoy pia
Inachosha sana hawajui tuKwa kwelii hawajui tuu kuwaaaa nasi huwaa tunatamani jamboo jipyaaa...inachoshaaa basi tuuuu
Sema mama J anaokoa jahazi ๐๐๐Kweli kabisa mkuu,
Suala la Upungufu wa Nguvu za kike halizungumzwi, ila lipo Sana tu.
Mimi mwnyw ni muhanga Sana Wana hili janga
Hilo jipya ni lipi tena maana tukianza mambo mapya mnasema hamtaki mwanaume wenye makoro koro mengi kunako 6 kwa 6Kwa kwelii hawajui tuu kuwaaaa nasi huwaa tunatamani jamboo jipyaaa...inachoshaaa basi tuuuu
Basi muwe mnatuambia fantasies zenu tuwatimizie ili mridhikeInachosha sana hawajui tu
Unakuwa tayari ushamwaga maji ya uzima au ndio bora liende?Sisi wavivu dakika 5 zinatutosha ๐๐๐
Mbona hili suala ni dogo tu jamani, nyie muwe huru mtuambie nini tuwafanyie ili kuongeza ubunifuKifupiii huwaa tunachokaa hasa kwa mume na mkeee jamani sometimes mpk tunatamani show za njeeee...na vile mnatuchukuliaa poaaa no vikolombwezooo
Mtu anakua anajua vzuri tu ila sijuagi ndio mnakua mshatuzoea mnajionea tabu kufanya foreplay ya kueleweka mnatuvamia tu. Unamuambia baby nataka hiki na hiki mwenzako kashachomeka akimaliza yeye ndio basi. Wacha tulale tu.Basi muwe mnatuambia fantasies zenu tuwatimizie ili mridhike
๐ Wap mzabzabHilo jipya ni lipi tena maana tukianza mambo mapya mnasema hamtaki mwanaume wenye makoro koro mengi kunako 6 kwa 6
Muwe mnasemaKifupiii huwaa tunachokaa hasa kwa mume na mkeee jamani sometimes mpk tunatamani show za njeeee...na vile mnatuchukuliaa poaaa no vikolombwezooo
Daaah! Kweli kwenye miti hakuna wajenzi. Kuna wanaume tunazitafuta fursa kama hizo za kuwapiga foreplay za kwendaMtu anakua anajua vzuri tu ila sijuagi ndio mnakua mshatuzoea mnajionea tabu kufanya foreplay ya kueleweka mnatuvamia tu. Unamuambia baby nataka hiki na hiki mwenzako kashachomeka akimaliza yeye ndio basi. Wacha tulale tu.
Kwa ambaao wapoo kwenye ndoaa au mpenzi wa muda mrefuuu...tunahitaji mazingira mapyaaa jamani...muwee mnatutongozaa upyaaa ...mtupambeee jamani unakutaa mkeo nimeumbikaa hataa unisifiii nikipendezaaa unishangaaa tuuu khaaaa..wanawakee tunapendaga maneno flan hiviii hamjui tuu...tukiwaa kazini sasaa wenzenu wanatusifiaaa tunavyoingiaa tuuu na kutupambaaa๐ ๐ ๐ ...jaman tunapendaa kubembelezwaaa msituchukulieee poa.Hilo jipya ni lipi tena maana tukianza mambo mapya mnasema hamtaki mwanaume wenye makoro koro mengi kunako 6 kwa 6
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ wanaume kazi tunayo aseeKwa ambaao wapoo kwenye ndoaa au mpenzi wa muda mrefuuu...tunahitaji mazingira mapyaaa jamani...muwee mnatutongozaa upyaaa ...mtupambeee jamani unakutaa mkeo nimeumbikaa hataa unisifiii nikipendezaaa unishangaaa tuuu khaaaa..wanawakee tunapendaga maneno flan hiviii hamjui tuu...tukiwaa kazini sasaa wenzenu wanatusifiaaa tunavyoingiaa tuuu na kutupambaaa๐ ๐ ๐ ...jaman tunapendaa kubembelezwaaa msituchukulieee poa.
WametuzoeaaaaMuwe mnasema