Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

Kadri wanawake wanavyozidi kuwa na tatizo la kuchelewa kuridhika na maumbile yao kutanuka na kuwa makubwa ndivyo wanaume wanavyonyweshwa madawa ya kutatua tatizo lao.

Kipimo cha tatizo la nguvu za kiume ni kipi iwapo wanawake hawafanani kimaumbile, kitabia na muda wa kuridhika? Mwanaume usinywe tu madawa ukiaminishwa una tatizo.

Fanya uchunguzi, jiulize maswali kama haya:

Kibiolojia umeumbwa kutumia dk ngapi kufanya ngono na ww unatumia ngapi?

Ukubwa wa maumbile ya binadamu wa kawaida ni kiasi gani na wewe una kiasi gani?

Ondoa hofu ya kugongewa, furahia maisha ya ngono bila kujali kuwa kuna mtu atakuzidi kufanya ngono, kuwa na mwili mzuri, zingatia afya ya akili. Tukifanya hivi matatizo ya kufa at 50 kwa presha, kisukari, figo yatapungua na wanawake wataondokana na ile dhana ya ukifa mm na watoto itakuaje? Maana jamii yao imeshahitimisha kuwa mwanaume atakufa mapema na kuwaacha.
 
Reactions: Cyb
Mimi Niko real sana wakat tunaanza hayo mahusiano Yan ukiniulizia natak nn lazima goodsex iwepo kwaiyo mzee atembee nayo tu kichwani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na wengi wanaanza vzuri badae unashangaa mtu anaanza kujisahaulisha asa sielewag nini sababu.
 
Wanaume hawajiamini
 
Reactions: Tsh
Vijana wanaofanya hivo, ni kwaajili ya kukomoana tu
 
Reactions: Tsh
Poleni sanaaa...ukweli na usemweee sometimes tunawatesaa Sana humu ndoani
Kabisa dada angu,
Na vitu Kama hivi hata kumuita mshenga au ukweni kushtaki Ni aibu Sana mwanaume

Kwaiyo tunajiongeza nje kimya kimya tusiharibu ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…