Bless mom
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 948
- 2,040
Mtafikaaa mbinguniii mpo hoi sanaaaa😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌 wanaume kazi tunayo asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafikaaa mbinguniii mpo hoi sanaaaa😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌 wanaume kazi tunayo asee
Tutafika wengine wanatambaa kabisaMtafikaaa mbinguniii mpo hoi sanaaaa😂😂😂😂
Yaaan hizooo foreplay ndioo zenywee sasaaa kulikoo hataa dudu lenyeweee😋😋Daaah! Kweli kwenye miti hakuna wajenzi. Kuna wanaume tunazitafuta fursa kama hizo za kuwapiga foreplay za kwenda
😂😂😂😂😂😂Tutafika wengine wanatambaa kabisa
Na wengi wanaanza vzuri badae unashangaa mtu anaanza kujisahaulisha asa sielewag nini sababu.Mimi Niko real sana wakat tunaanza hayo mahusiano Yan ukiniulizia natak nn lazima goodsex iwepo kwaiyo mzee atembee nayo tu kichwani 😂😂😂😂
💯🤝 wanawake wengi wanasemaga hivyoYaaan hizooo foreplay ndioo zenywee sasaaa kulikoo hataa dudu lenyeweee😋😋
Sasa hapo ndo ushirikiano unapohitajikaNa wengi wanaanza vzuri badae unashangaa mtu anaanza kujisahaulisha asa sielewag nini sababu.
SawaSasa hapo ndo ushirikiano unapohitajika
Wanaume hawajiaminiKadri wanawake wanavyozidi kuwa na tatizo la kuchelewa kuridhika na maumbile yao kutanuka na kuwa makubwa ndivyo wanaume wanavyonyweshwa madawa ya kutatua tatizo lao.
Kipimo cha tatizo la nguvu za kiume ni kipi iwapo wanawake hawafanani kimaumbile, kitabia na muda wa kuridhika? Mwanaume usinywe tu madawa ukiaminishwa una tatizo.
Fanya uchunguzi, jiulize maswali kama haya:
Kibiolojia umeumbwa kutumia dk ngapi kufanya ngono na ww unatumia ngapi?
Ukubwa wa maumbile ya binadamu wa kawaida ni kiasi gani na wewe una kiasi gani?
Ondoa hofu ya kugongewa, furahia maisha ya ngono bila kujali kuwa kuna mtu atakuzidi kufanya ngono, kuwa na mwili mzuri, zingatia afya ya akili. Tukifanya hivi matatizo ya kufa at 50 kwa presha, kisukari, figo yatapungua na wanawake wataondokana na ile dhana ya ukifa mm na watoto itakuaje? Maana jamii yao imeshahitimisha kuwa mwanaume atakufa mapema na kuwaacha.
Sababu ya kutengeneza kichwani mapungufu yasiyokuwepo.Wanaume hawajiamini
Kabisa 💯Sababu ya kutengeneza kichwani mapungufu yasiyokuwepo.
Vijana wanaofanya hivo, ni kwaajili ya kukomoana tuKadri wanawake wanavyozidi kuwa na tatizo la kuchelewa kuridhika na maumbile yao kutanuka na kuwa makubwa ndivyo wanaume wanavyonyweshwa madawa ya kutatua tatizo lao.
Kipimo cha tatizo la nguvu za kiume ni kipi iwapo wanawake hawafanani kimaumbile, kitabia na muda wa kuridhika? Mwanaume usinywe tu madawa ukiaminishwa una tatizo.
Fanya uchunguzi, jiulize maswali kama haya:
Kibiolojia umeumbwa kutumia dk ngapi kufanya ngono na ww unatumia ngapi?
Ukubwa wa maumbile ya binadamu wa kawaida ni kiasi gani na wewe una kiasi gani?
Ondoa hofu ya kugongewa, furahia maisha ya ngono bila kujali kuwa kuna mtu atakuzidi kufanya ngono, kuwa na mwili mzuri, zingatia afya ya akili. Tukifanya hivi matatizo ya kufa at 50 kwa presha, kisukari, figo yatapungua na wanawake wataondokana na ile dhana ya ukifa mm na watoto itakuaje? Maana jamii yao imeshahitimisha kuwa mwanaume atakufa mapema na kuwaacha.
Mwenzio unajipinda, yeye anawaz rejesho[emoji22]Kuna Vicoba siku hizi.
[emoji18][emoji57]Kwahiyo Malalamiko yako yanaenda kwa wife?
Kabisa dada angu,Poleni sanaaa...ukweli na usemweee sometimes tunawatesaa Sana humu ndoani
Kama ulikuepo chief[emoji4]Sema mama J anaokoa jahazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzio unajipinda, yeye anawaz rejesho[emoji22]
I fell your pain jamani...Kabisa dada angu,
Na vitu Kama hivi hata kumuita mshenga au ukweni kushtaki Ni aibu Sana mwanaume
Kwaiyo tunajiongeza nje kimya kimya tusiharibu ndoa