Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.
Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.
Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.
KUTENGENEZA NGUZO ZA ZEGE PASIPO KUWEKA VYUMA VYA VIWANGO STAHILI NI WIZI NA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI,TANESCO ANA HAKI YA KUISHTAKI KAMPUNI HUSIKA JUU YA UHUNI NA KUHATARISHA MAISHA YA WATU KWA KUTOTENGENEZA NGUZO ZENYE UBORA STAHILI.
KUTENGENEZA NGUZO ZA ZEGE PASIPO KUWEKA VYUMA VYA VIWANGO STAHILI NI WIZI NA JINAI,TANESCO ANA HAKI YA KUISHTAKI KAMPUNI HUSIKA JUU YA UHUNI NA KUHATARISHA MAISHA YA WATU KWA KUTOTENGENEZA NGUZO ZENYE UBORA STAHILI.