Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Tanesco haimini katika wataalam na matokeo yake ndiyo hayo , tembea mikoa yote ya kitanesco Dsm uone uhaba wa wahandisi (wamebaki watumia fundi mchundo Kwa mdomo kama wahandisi) ambao kimsingi wanawajibika dhidi ya taratibu za utendaji na uzembe kama huo nadra kutokea.

Hizo nguzo za zege ni ufumbuzi mzuri sana Kwa umeme wa uhakika tatizo ni pale unapofanya foremen kuwa engine ya shirika madhara yake ndiyo hayo kazi zinakuwa Chini ya viwango na kuleta athali kubwa Kwa wananchi hadi kupelekea vifo.

TANESCO UPGRADE YOUR ENGINEERS ACHENI AHADI KAMA ZA WAGANGA WA TUNGULI.
 
Back
Top Bottom