Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nijuavyo zinapaswa kuwa na nondo ndani yake ambazo hufunikwa na cement yenye ratio kubwa kuliko mchanga na aina ya cement ni ile 42.5 nadhaniKudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.
Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakukuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.
Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints.
Hayanihusu.
Video hii hapa nguzo imeanguka
View attachment 2693787
Sent using Jamii Forums mobile app