Uwezi sema kudondoka Kwa nguzo ya zege ni Jambo la kawaida ebu tafakari vizuri kwakuwa lengo la kuweka nguzo za zege ni kuleta uimara wa miundombinu na kupunguza gharama za matengenezo Kwa baadae sasa huo ukawaida umetokea wapi ikiwa hakuna wasimamizi wanaokizi vigezo nao Engineers. Hakuna experts wa kusimamia hizo kazi MD wa Tanesco anaona Sawa Kwa yote kwakuwa projects zake Kwa wanasiasa zinaenda Hilo la usalama wa wananchi si kipaumbele chake .
Unajua mahali zipo nguzo imara alizotaka Marehemu Magufuli ziwe zikitumika au unataka weka jina la Hayati pasipo sababu, point Tanesco imeegemea katika Foremens kufanikisha kazi zao kuliko kuwapa fursa wahandisi na ndiyo maana haitaki wapandisha Engineers ili kazi ziende Kwa miongozo ya kiufundi.
Matokeo ya uzembe ndiyo maana nguzo zinadondoka na soon watakuja kutupa updates ya kwamba zile ni nguzo za TTCL.