Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
- #121
Kuna nguzo za miti zinamiaka ya mtu mtu mzimaZa miti zikioza unaziona na zinaweza kubadilishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nguzo za miti zinamiaka ya mtu mtu mzimaZa miti zikioza unaziona na zinaweza kubadilishwa.
zipom sema nyembamba sana...!!nguzo ya zege haina hata nondo!!!
🤣🤣🤣Waziri Makamba inabidi ajiuzulu
Nimekazia kuwa na wataalam zaidi ambao ndiyo msingi wa ubora wa kazi katika mahali popote hata huyo MD wa Tanesco mfumo ukaona utaalamu wake ndiyo maana ukamuamini lahasha angekuwa huko anacheza na wahindi (Dstv).Hatupingi nguzo za zege tatizo hatengenezwi wa ubora na vigezo. Huwezi ukajiwekea zege hapo bila kujali hali ya hewa. Hata waliyojenga pyramid waliweka rami kama expansion joint. Sasa unaweka zege hapo unasema zege ni imara.
🤣🤣🤣Shida ilanzia pale kazi iliposimamiwa na Maharage ya Januari
Soma hapa ila siyo mimi niliyeandikaHuu mradi ulianza kipindi cha Jiwe kabla Kipara hajawa waziri wa nishati
Expansion join si kuangalia uimara ni kitu frani ma-engineer wengi wanazalau environment factor lakini ni muhimu sana. Environment factor hizi nguzo zinaanguka haraka kwasababu ya environment factor.Haziitaji expansion joint zinahitaji reinforcement bar + quality cement na ratio nzuri. Sand Cement and Concrete poles bila reinforcing bars haiwezi ku withstand bending force
Na kama ni kubana matumizi wangeweza kutumia mianzi 😂😂 wachina wanatumia hii technolojia
Kwa hili nguzo kudondoka sio ishu Hata za miti Zina dondoka , mkumbuke Kidogo ni mawazo ya Mzee wetu Magufuli na nguzo za mwanzo kbs zilikuwa zipo strong na hizo chuma zipo Na wazo Hilo alitoa sio Kwa ubaya ni kuepusha upigaji wa Tanesco. Kwa kuagiza Nguzo nje ya nchi,
Huu mradi ulianza kipindi cha Jiwe kabla Kipara hajawa waziri wa nishati
Mbona hatukuona nguzo zinadondoka? Maana yake zilikuwa zinasimamiwa vizuri sasa hivi upigaji ni mwingi sana.Huu mradi ulianza kipindi cha Jiwe kabla Kipara hajawa waziri wa nishati
hayo ni ya kiufundi au ya kusave fedha za nondoNadhani kuna makosa tu ya kibinadamu
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.
Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.
Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.
Video hii hapa nguzo imeanguka
Huu mradi ulianza wakati wa JK. Jiwe alizikataa akawambia kama wanataka nguzo watengeneze wenyewe alivyokufa tu wakanunuaHuu mradi ulianza kipindi cha Jiwe kabla Kipara hajawa waziri wa nishati
Aisee!!!Huu mradi ulianza wakati wa JK. Jiwe alizikataa akawambia kama wanataka nguzo watengeneze wenyewe alivyokufa tu wakanunua