Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Hatupingi nguzo za zege tatizo hatengenezwi wa ubora na vigezo. Huwezi ukajiwekea zege hapo bila kujali hali ya hewa. Hata waliyojenga pyramid waliweka rami kama expansion joint. Sasa unaweka zege hapo unasema zege ni imara.
Nimekazia kuwa na wataalam zaidi ambao ndiyo msingi wa ubora wa kazi katika mahali popote hata huyo MD wa Tanesco mfumo ukaona utaalamu wake ndiyo maana ukamuamini lahasha angekuwa huko anacheza na wahindi (Dstv).

Baada ya kupata wataalam ndiyo utapata ukaguzi wa hizo nguzo za zege kabla ya kutengenezwa kwa ubora na namna ya kusimamia zikiwa eneo la kazi tofauti na hapo ni uhalibifu wa kazi jahazi aliwezi endeshwa na kila mtu( Nenda TANESCO ofisi za Dsm za mikoa kisha uje utoe ushuhuda dhidi ya wataalam wa kada ya uhandisi utakuja shika kichwa kwa ujuha wao na wakati huo wanao wataalam ambao ni kugusa tu wanafit hizo sehemu ).
 
Haziitaji expansion joint zinahitaji reinforcement bar + quality cement na ratio nzuri. Sand Cement and Concrete poles bila reinforcing bars haiwezi ku withstand bending force

Na kama ni kubana matumizi wangeweza kutumia mianzi 😂😂 wachina wanatumia hii technolojia
Expansion join si kuangalia uimara ni kitu frani ma-engineer wengi wanazalau environment factor lakini ni muhimu sana. Environment factor hizi nguzo zinaanguka haraka kwasababu ya environment factor.
Hata ingekuwa reinforced bado zingeweka alama za mpasuko tu taratibu zingepinda.
 
Kwa hili nguzo kudondoka sio ishu Hata za miti Zina dondoka , mkumbuke Kidogo ni mawazo ya Mzee wetu Magufuli na nguzo za mwanzo kbs zilikuwa zipo strong na hizo chuma zipo Na wazo Hilo alitoa sio Kwa ubaya ni kuepusha upigaji wa Tanesco. Kwa kuagiza Nguzo nje ya nchi,
 
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.

Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.

Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.

Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.

Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.

Video hii hapa nguzo imeanguka

Kunatakuwa uchakachuaji kuna nguzo nimewahi ziona za namna hiyo iliyovunjikq kidogo na ndani kulikuwa na nondonkqmq za mm6 au 8 hivi so wambongo hapo wamefanya yao
 
Inatafutwa sababu ya kuanza kununua nguzo kutoka Nje ya nchi nadhani!!! Mleta mada Nisamehe kwa mawazo yangu haya maana sina uhakika lakini fikra zanituma kuwaza hivyo!
 
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.

Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.

Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.

Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.

Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.

Video hii hapa nguzo imeanguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom