Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Unajua hazina expansion joints. Kwahiyo ni hatari hata sijui nani kazi katengeneza
Hahah naona umekomaa na neno expansion joints...
Mimi sio mtaalamu wa ujenzi lakini sidhani kama aina hiyo ya nguzo za sege inahitaji uwepo wa expansion joint...
Itakuwa tu labda nguzo zimetengenezwa kwa kiwango duni cha materials, pengine pia hazifanyiwa simulation kulingana na wapi zitapotumika n.k
Vilevile kwa kuwa tunaishi Afrika, susala la hujuma huwezi kulipuuzia kama ambavyo kuna wazee wa vyuma chakavu kwenye miundombinu mingine...