Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Za miti zinadondoka lakini madhara ni tofauti.Kwahiyo za miti hazidondoki?
Zile zilikuwa na vyuma ndani lakini hizi hakuna kituPita reli ya Tazara ndio utamuelewa Mayala.
Nguzo za zege waliweka Wachina tangu mwaka 1968 mpaka leo zipo imara.
WamechakachuaMakosa ya kibinadamu yapi tena?
Nimewahi kuangalia video ya namna hizi nguzo zinavyotengenezwa, kuna nondo ndani yake, ina maana hapa walisahau?
View attachment 2694302
So sio makosa ya kibinadamu, ni wizi tuWamechakachua
Makosa ya kibinadamu yapi tena?
Nimewahi kuangalia video ya namna hizi nguzo zinavyotengenezwa, kuna nondo ndani yake, ina maana hapa walisahau?
View attachment 2694302
Aisee!!! Wakati mwingine unawaza ...huu uzalendo unaosemwa ni WA namna gani?Kuna muwekezaji wa ndani, mjumbe wa NEC wa Ccm aliyeongoza kwa kupigiwa kura nyingi Dodoma, anatokea Mufindi, yeye ni Swahiba wa January Makamba, ameahidi kutowa nguzo za miti bure kwenye project ya Rea mkoa Fulani.
Sasa hapa kuna Uturn inaandaliwa kurudi kwenye woods material.
Walio idhinisha hiyo tenda wanatakiwa wawajibike! Mradi muhimu hivyo unawezaje kubwa na makosa ya kiinjinia kiasi hicho?Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.
Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.
Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.
Video hii hapa nguzo imeanguka
Ukute wahusika wa ubora wameshakula Chao wako kimyaaa tuuuuuu utadhani sio wao wanaohusika
Kuna wanaojiita OSHA, Kuna ERB, Kuna CRB Kuna taasisi nyingi za usalama WA structural things, wote wamepata kimya, Sijui wanataka ziue wangapi
Magufuli hausiki hapoKipindi cha magu walikuwa wana weka ndondo zile nyembamba zinakuwa imara sahivi wamechakachua ni noma
Inawezakana ikawa sio yao, binafsi nilishangaa sana, maana DERM kazi zao nazifahamu, wako serious kwenye hii project.Kuna mdau aliwalalamikia TANESCO kwa kutengeneza nguzo mbovu mpaka zimedondoka ila TANESCO wamekana kwamba hiyo nguzo iliyoonyeshwa na ITV siyo ya kwao ni ya Kampuni ya Fiber.
Lakini ukiangalia hiyo nguzo unaona kabisa wire ni wa umeme mweusi na umepitishwa kwenye Kikombe vya umeme.
Inawezakana ikawa sio yao, binafsi nilishangaa sana, maana DERM kazi zao nazifahamu, wako serious kwenye hii project.
Serikali ni wazembe tu.... Kenya Power wanakodisha space kwenye nguzo zao za umeme watu wanapitisha fibre.Basi Serikali inabidi ifanye mpango kabambe a kuwaambia hao watu wa fiber waondoe hizo Nguzo za magumashi zisije kuleta maafa zaidi......Nguzo gani za zege hazina hata nondo ndani au hata mesh wire?
Bora mbao ikioza haianguki kiboya kama hio ya zege. Mbao inabembeaga haikatiki😀 kama muwaSasa hizi na za miti ambazo nazo zikioza zinaanguka tu hovyo zipi nafuu?
Watu wamekula hela ya nondo nguzo imejengwa kihuni. Unakuta sample za kwanza 100 tu ndio ziliwekwa nondo na mesh wire ili kumpumbaza mtoa tender ila zilizofuata watu wamepiga hela. 🤣Za wenzetu kabla hazijawekwa zege
View attachment 2693844