Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 925
- 1,202
hii sio bure, kuna mtu anatafutiwa Kiki hapaNi kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
Kuwapa chakula balanced diety na kuhakikisha wanalala pasafi. Sio tumalizie pesa kwa mama JKazi kwelikweli Cha muhimu hakikisha watoto wako unawakinga na magonjwa hatarishi na ambayo sio hatarishi maana expenses zipo Juu Sana
Lakini waajiriwa wanachangia kiwango kikubwa zaidi kuliko hawa wa vifurushiNi muendelezo wa kubaguliwa ambao si waajiriwa wa serikali na mashirika yake. Utaratibu wa vifurushi umewekwa kuwanyima wanaojilipiya bima kibinafsi huduma wanazopata waajiriwa hata kama watalipa zaidi.
Mission ya Serikali, na mission ya wadau ni tofauti sana na ndio maana hata wakikaa hawapata muafaka.Hii issue naona serikali ingekaa na wadau waangalie namna bora ya kuifanikisha, maamuzi mengi wanayochukua peke yao huwa mwishowe yanawaumiza watanzania wa kipato cha chini.
Sioni tena umuhimu wa kuwa na bima ya afya kwenye hii nchi, kinachoenda kutokea ni kujiandaa tu na pesa zako mfukoni.
WaTanzania asili yetu ni watu wa kulalamika lalamika bila hata kutumia akili zetu ku- reason out, hiyo kasumba ililetwa na siasa za ujamaa za kuchonganisha sera za kibepari na raia wake, 120,000 ni sawa na sh 10,000 kwa kila mwenzi kwa ajiri ya afya ya mwanao.Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
Tatizo nilionalo ni kwa sababu gani waajiriwa wapate huduma nyingi kuliko wanaolipa binafsi. Vifurushi ni ubaguzi.WaTanzania asili yetu ni watu wa kulalamika lalamika bila hata kutumia akili zetu ku- reason out, hiyo kasumba ililetwa na siasa za ujamaa za kuchonganisha sera za kibepari na raia wake, 120,000 ni sawa na sh 10,000 kwa kila mwenzi kwa ajiri ya afya ya mwanao.
Kwa kweli hiyo sio nyingi, kwa nchi nilizo tembelea bima ni gharama kubwa sana mara 5 au 10 na ya kwetu, tuwe fair some time, mtumishi wa wastani anakatwa 40,000 ya mshahara wake kila mwezi kwa ajiri ya bima hao ndo wanao fidia hiyo pesa tuwe waelewa katika vitu vya msingi kama afya ya wstoto wetu kama huwezi kutenga 10k kwa ajiri ya afya ya mwanai kila kwanini unaendelea kuwapa wanawake mimba?
Mkuu kumbuka wengi hao waajiliwa wako sehemu nyingi za vijijini hawapati hiyo huduma ya afya ya bima kwasbb mawilayani hiyo huduma iko mjini tu tena hopitali moja au mbili, at the end the day sie tuliko Town ndo tunafaika.Si kweli kwamba waajiriwa wote wanachangia kiwango kikubwa kuliko watu binafsi.
Nitatoa mfano wa muajiriwa mwenye mshahara wa wa milioni 2. Asilimia 6 yake ni 120,000. Kwa mwaka atalipa 1,440,000. Kiasi hiki kinabeba wanufaika 6. Miongoni mwa wanufaika ni wazazi na wakwe wao. Kila mnufaika mchango wake ni 240,000.
Sasa mchangiaji binafsi wa kundi la umri 35 hadi 59 anachangia 2,220,000 akibeba mwenza wake na wategemezi wanne. Tayari analipa zaidi. Isitoshe atapata huduma pungufu akienda kutibiwa.
Ikumbukwe mshahara wa 2m ni wachache wanaoukaribia.
Ni kweli usemacho kwamba wengi wako vijijini. Binafsi nasikitika kwa ubaguzi. Namlipia binti yangu 516,000 (TIMIZA). Umri wake 23. Anapata huduma pungufu kuliko anaebebwa na mchangiaji wa 120,000 kwa mwakaMkuu kumbuka wengi hao waajiliwa wako sehemu nyingi za vijijini hawapati hiyo huduma ya afya ya bima kwasbb mawilayani hiyo huduma iko mjini tu tena hopitali moja au mbili, at the end the day sie tuliko Town ndo tunafaika.
Hakika Huyo Mama J usimpe hela maana majuto ni mjukuuKuwapa chakula balanced diety na kuhakikisha wanalala pasafi. Sio tumalizie pesa kwa mama J
Ni kweli usemacho kwamba wengi wako vijijini. Binafsi nasikitika kwa ubaguzi. Namlipia binti yangu 516,000 (TIMIZA). Umri wake 23. Anapata huduma pungufu kuliko anaebebwa na mchangiaji wa 120,000 kwa mwaka
Nakuelewa mkuu, tengeneza tatizo kisha litatue jizolee misifahii sio bure, kuna mtu anatafutiwa Kiki hapa
Vipi kuhusu ubaguzi wa vifurushi. Serikali ina haki ya kufanya hivyo?Mtu Kama Hana ugonjwa wowote wa kurithi au wa Kupata ukubwani
Achana na Bima Mwambie azingatie kula vizuri , mazoezi na kukaa Mbali na ngono . Hiyo bima ni kuwanufaisha wanasiasa tu.
Mawezo ya kale hayo dunia imebadilika mda wowote unaweza kukumbwa na janga la maradhiMtu Kama Hana ugonjwa wowote wa kurithi au wa Kupata ukubwani
Achana na Bima Mwambie azingatie kula vizuri , mazoezi na kukaa Mbali na ngono . Hiyo bima ni kuwanufaisha wanasiasa tu.
Kwahiyo nani anafaa?Tunaposema ccm haifai muwe mnaelewa
Ngoja tuone kama watumiaji wa bima hiyo wataongezeka.Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.