Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya haijengiHaya mambo ya NHIF yananikumbusha miaka hiyo Mzee mmoja alikuwa HR wetu.
Wale wazungu kwenye vikao vya management wakajadili njia bora ya wafanyakazi kupata matibabu je wawe wanaleta risiti ya matibabu kuclaim refund au waingie mkataba na hospitali?
Basi yule Mzee Mtanzania mwenzetu bila aibu anasema mishahara yetu tayari INA pesa za matibabu, basi wale wazungu wakaona kwakuwa huyu ni Mtanzania mwenzetu basi yupo sahihi.
Kimbembe akaumwa mke wake tikatika Mzee akampeleka Agha Khan si HR wa kampuni ya wazungu bwana, mama alilazwa wiki mbili tu bill million 15, akachukuwa invoice akapeleka ofisini ili wazungu wamlipie, Sasa ninachowapenda wazungu wapi straight wakamuulize Mzee swala la matibabu si lipo kwenye mishahara ya wanafanyakazi?
Huu ndio ubinafsi nauona kwa NHIF, wao hawajioni kama ni Watanzania au wana ndugu wanaoathirika na huu upuuzi wao.
Kwa huruma ya wazungu walimpa cheque yulw Mzee akalipe bill lakini atakatwa pesa yote kwenye mshahara wake.
Kwa roho mbaya ya yule Mzee Mungu akamlaani ampaka anakufa anakaa vigorofa vya NHC vya nyumba viliwi na sebule wakati alipaswa awe na mjengo wa maana na compound ya kutosha.
Toto Afya imepandishwa kufikia 200,000?Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
View attachment 2551779
Mtu kaloga ukoo na kujisahau kuwa naye ni mwana ukoo.Watanzania baadhi wanababaikaga sana kufanya kazi na ngozi nyeupe.Haya mambo ya NHIF yananikumbusha miaka hiyo Mzee mmoja alikuwa HR wetu.
Wale wazungu kwenye vikao vya management wakajadili njia bora ya wafanyakazi kupata matibabu je wawe wanaleta risiti ya matibabu kuclaim refund au waingie mkataba na hospitali?
Basi yule Mzee Mtanzania mwenzetu bila aibu anasema mishahara yetu tayari INA pesa za matibabu, basi wale wazungu wakaona kwakuwa huyu ni Mtanzania mwenzetu basi yupo sahihi.
Kimbembe akaumwa mke wake tikatika Mzee akampeleka Agha Khan si HR wa kampuni ya wazungu bwana, mama alilazwa wiki mbili tu bill million 15, akachukuwa invoice akapeleka ofisini ili wazungu wamlipie, Sasa ninachowapenda wazungu wapi straight wakamuulize Mzee swala la matibabu si lipo kwenye mishahara ya wanafanyakazi?
Huu ndio ubinafsi nauona kwa NHIF, wao hawajioni kama ni Watanzania au wana ndugu wanaoathirika na huu upuuzi wao.
Kwa huruma ya wazungu walimpa cheque yulw Mzee akalipe bill lakini atakatwa pesa yote kwenye mshahara wake.
Kwa roho mbaya ya yule Mzee Mungu akamlaani ampaka anakufa anakaa vigorofa vya NHC vya nyumba viliwi na sebule wakati alipaswa awe na mjengo wa maana na compound ya kutosha.
Sana watanzania Rais wa mioyo yetu huyu haiwezekani mtoto wako atibiwe kwa gharama ndogoHakuna kama samia huyu rais wa ndoto zangu haiwezekani mtoto atibiwe kwa hela ndogo kama keeli unampemda mwanao
Hapo nchi kama kenya laki 3 ghana laki 340 kwa mtoto mmoja
Usa wao 1.6m per kid
Ni kuonesha namna gani unampenda mwanao
Twende na samia mpaka 2050
Kaupiga mwingiiiiiiiii
sio kitonga, hizo gharama ni kubwa sana.Acha kupenda kitonga,huo mfuko wa bima ulikua inaelekea kuzimu,kutwa kuuhujumu,mkitibiwa malaria familia nzima kwa mwaka ambayo haipungui Mara tatu kila mmoja ni si chini ya 300000
Shida awafikirii mbele,Haya mambo ya NHIF yananikumbusha miaka hiyo Mzee mmoja alikuwa HR wetu.
Wale wazungu kwenye vikao vya management wakajadili njia bora ya wafanyakazi kupata matibabu je wawe wanaleta risiti ya matibabu kuclaim refund au waingie mkataba na hospitali?
Basi yule Mzee HR Mtanzania mwenzetu bila aibu akasema mishahara yetu tayari ina pesa za matibabu, basi wale wazungu wakaona kwakuwa huyu ni Mtanzania mwenzetu basi yupo sahihi.
Kimbembe akaumwa mke wake tikatika Mzee akampeleka Agha Khan si HR wa kampuni ya wazungu bwana, mama alilazwa wiki mbili tu bill million 15, akachukuwa invoice akapeleka ofisini ili wazungu wamlipie, Sasa ninachowapenda wazungu wapo straight wakamuulize Mzee swala la matibabu si lipo kwenye mishahara ya wafanyakazi?
Huu ndio ubinafsi nauona kwa NHIF, wao hawajioni kama ni Watanzania au wana ndugu wanaoathirika na huu upuuzi wao.
Kwa huruma ya wazungu walimpa cheque yulw Mzee akalipe bill lakini atakatwa pesa yote kwenye mshahara wake.
Kwa roho mbaya ya yule Mzee Mungu akamlaani ampaka anakufa anakaa vigorofa vya NHC vya nyumba viliwi na sebule wakati alipaswa awe na mjengo wa maana na compound ya kutosha.
Na huo ndio ukweli wenyeweNdugu zangu,
Iko hivi, hii bima ya toto afya na nyinginezo za private wanajiunga baada ya familia husika kupata tatizo la kuuguliwa na mtoto au ndugu. Ukiwa na mfuko wa NHIF ambao wanachama wake wanajiunga wakiwa wanaumwa karibu wote ni hatari Kwa uhai wa mfuko wenyewe.
Kwanini unasema wako sahihi?Serikali wako SAHIHI
Waswahili kwa asilimia zote. Mambo haya yameanza siku nyingi nyuma, kumbuka;Hili jopo lililopitisha hii ni la watanzania kweli?
Kama umetembea basi ni Somalia, Eritrea, Burundi, South Sudan na Gambia.WaTanzania asili yetu ni watu wa kulalamika lalamika bila hata kutumia akili zetu ku- reason out, hiyo kasumba ililetwa na siasa za ujamaa za kuchonganisha sera za kibepari na raia wake, 120,000 ni sawa na sh 10,000 kwa kila mwenzi kwa ajiri ya afya ya mwanao.
Kwa kweli hiyo sio nyingi, kwa nchi nilizo tembelea bima ni gharama kubwa sana mara 5 au 10 na ya kwetu, tuwe fair some time, mtumishi wa wastani anakatwa 40,000 ya mshahara wake kila mwezi kwa ajiri ya bima hao ndo wanao fidia hiyo pesa tuwe waelewa katika vitu vya msingi kama afya ya wstoto wetu kama huwezi kutenga 10k kwa ajiri ya afya ya mwanai kila kwanini unaendelea kuwapa wanawake mimba?
Hahahaha NHIF wameona wanachezewa rafu wakaamua wacheze rafu na wenyewe, sema ukichek hii issue kiukweli NHIF wapo sahihi, mtaani watu hukata bima kama mtu anaumwa na si vinginevyo aiseeee, ko NHIF lazima ingezidiwa tuNHIF wao wanadai kuwa wengi wanaokata BIMA ni wagonjwa tayari, hivyo wanataka wakate kama familia maana si familia yote yaweza kuwa inaumwa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna Katibu mkuu wizara ya afya miaka ya nyuma aliwapuuza madaktari wakati wana madai yao ya msingi na akazima ule mgomo.Shida awafikirii mbele,
Wanajifikiria wao wenyewe tu,
Sheria sio kwa ajili yao.
Kwamba wachangiaji walitumia 600% wakashtukiaHahahaha NHIF wameona wanachezewa rafu wakaamua wacheze rafu na wenyewe, sema ukichek hii issue kiukweli NHIF wapo sahihi, mtaani watu hukata bima kama mtu anaumwa na si vinginevyo aiseeee, ko NHIF lazima ingezidiwa tu
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app