Naona ni mkakati wa kuwahimiza watu kutozaa sana.. wenye watoto kuanzia watatu gharama ni nzito kweli kweli... watanzania punguzeni kuzaa hovyo..Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
Serikali ya Ccm imeamua kufanyia afya za watu biashara.Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
Nimshauri tu kama ni mtumiaji wa boda boda ahakikishe yuko kwenye mfumo wa bima maana kinanuka anytime.Mawezo ya kale hayo dunia imebadilika mda wowote unaweza kukumbwa na janga la maradhi
Kuna haja ya kuhakikisha wateule wanaishi kwa mishahara yao bila posho zozote ili wa feel ile squeeze ya maisha kusudi wawe wanatatua matatizo ya raia badala ya kuwagandamiza.Serikali ya Ccm imeamua kufanyia afya za watu biashara.
Hii ni kutokana na bunge kuwa la chama kimoja.
Wamekosa mawazo mbadala. Kila kitu kwao ni sawaaaa. Maana wao hutibiwa kwa kodi zetu.
Kuzaa haihusiani na bima wewe. Elimu ni bure tufyatueniNaona ni mkakati wa kuwahimiza watu kutozaa sana.. wenye watoto kuanzia watatu gharama ni nzito kweli kweli... watanzania punguzeni kuzaa hovyo..
Acha kupenda kitonga,huo mfuko wa bima ulikua inaelekea kuzimu,kutwa kuuhujumu,mkitibiwa malaria familia nzima kwa mwaka ambayo haipungui Mara tatu kila mmoja ni si chini ya 300000Tunaposema ccm haifai muwe mnaelewa
Wangefanya hata elf 70 basi khaaaaNi kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
View attachment 2551779