GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kwn hujui CCM ndio chama kilichojipa dhamana ya Kuongoza nchi.CCM na watendaji maofisini kwenye taasisi kama hii vinahusina nini? Mbona we umeongea ukichaa aisee
Sawa kabisa. Na mishahara tulipwe kama Kenya, na USA. Zero kabisaHakuna kama samia huyu rais wa ndoto zangu haiwezekani mtoto atibiwe kwa hela ndogo kama keeli unampemda mwanao
Hapo nchi kama kenya laki 3 ghana laki 340 kwa mtoto mmoja
Usa wao 1.6m per kid
Ni kuonesha namna gani unampenda mwanao
Twende na samia mpaka 2050
Kaupiga mwingiiiiiiiii
Unamaanisha nini mkuu?Kupoteza tumaini ni hatua ya mwisho ya maisha ya mwanadamu
Sasa wewe unataka chama gani CDM kwa Sasa ni chawa wa ccmTunaposema ccm haifai muwe mnaelewa
Shida kuna watoto wa kule na huko vituo vya yatima tumezoea kuwakatia bima za 50,400 sasa itakuwaje kwao?Kazi kwelikweli Cha muhimu hakikisha watoto wako unawakinga na magonjwa hatarishi na ambayo sio hatarishi maana expenses zipo Juu Sana
Watanzagiza wakipush pressure watabadilisha .Shida kuna watoto wa kule na huko vituo vya yatima tumezoea kuwakatia bima za 50,400 sasa itakuwaje kwao?
Ni janga sana nawaonea huruma hawa watoto
Tunaposema KATIBA MPYA NI SASA mtuelewe, upuuzi wa namna hii ungeweza kupingwa kupitia Mahakama na KUFUTILIWA MBALINHIF wangepambana kusajili watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kabla awajafuta Toto Afya Bima .Au wangesubiri Bima ya afya kwa wote.Watanzania wengi wa kipato cha chini ambao sio wajiriwa awataweza kulipa package zaool.
Nimekuelewa hapo kwenye "tutetee"Halafu kuna siku wakikaa kwenye vikao vyao wanaanza kushangaa na kujiuliza "hivi sisi ndiyo tulipitisha hii?". Ooh Jehova tutetee sisi watanzania.
Watu kama hawa ndio wanapaswa kufa ili taifa hili lipone maana hawana manufaa yoyote katika nchi hii. Kwanini wakati huyo mbwa anatamka huo upuuzi, msingempiga mawe hadi afe kifo cha kiumbwa?Haya mambo ya NHIF yananikumbusha miaka hiyo Mzee mmoja alikuwa HR wetu.
Wale wazungu kwenye vikao vya management wakajadili njia bora ya wafanyakazi kupata matibabu je wawe wanaleta risiti ya matibabu kuclaim refund au waingie mkataba na hospitali?
Basi yule Mzee HR Mtanzania mwenzetu bila aibu akasema mishahara yetu tayari ina pesa za matibabu, basi wale wazungu wakaona kwakuwa huyu ni Mtanzania mwenzetu basi yupo sahihi.
Kimbembe akaumwa mke wake tikatika Mzee akampeleka Agha Khan si HR wa kampuni ya wazungu bwana, mama alilazwa wiki mbili tu bill million 15, akachukuwa invoice akapeleka ofisini ili wazungu wamlipie, Sasa ninachowapenda wazungu wapo straight wakamuulize Mzee swala la matibabu si lipo kwenye mishahara ya wafanyakazi?
Huu ndio ubinafsi nauona kwa NHIF, wao hawajioni kama ni Watanzania au wana ndugu wanaoathirika na huu upuuzi wao.
Kwa huruma ya wazungu walimpa cheque yulw Mzee akalipe bill lakini atakatwa pesa yote kwenye mshahara wake.
Kwa roho mbaya ya yule Mzee Mungu akamlaani ampaka anakufa anakaa vigorofa vya NHC vya nyumba viliwi na sebule wakati alipaswa awe na mjengo wa maana na compound ya kutosha.
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
View attachment 2551779
Wewe usilolijua ni kama usiku wa giza,huko ulikotokea mfano angalau matunda ya michango yao inaonekana vizuri tofauti na huu ya kwetu imejaa uhuni tupu! Wizi mtupu wa fedha za umma.binafsi nimefanya hospitalini,najua mipango waliyokuwa wanatumia watumishi wa hiyo mifuko kulijipa fedha haramu haramu na haramu zaidi za watanzania. Nadhani kuna watumishi wanastahili kuwa gerezani au kunyongwa kama ingekuwa Korea kaskazini huko.wizi mtupu!WaTanzania asili yetu ni watu wa kulalamika lalamika bila hata kutumia akili zetu ku- reason out, hiyo kasumba ililetwa na siasa za ujamaa za kuchonganisha sera za kibepari na raia wake, 120,000 ni sawa na sh 10,000 kwa kila mwenzi kwa ajiri ya afya ya mwanao.
Kwa kweli hiyo sio nyingi, kwa nchi nilizo tembelea bima ni gharama kubwa sana mara 5 au 10 na ya kwetu, tuwe fair some time, mtumishi wa wastani anakatwa 40,000 ya mshahara wake kila mwezi kwa ajiri ya bima hao ndo wanao fidia hiyo pesa tuwe waelewa katika vitu vya msingi kama afya ya wstoto wetu kama huwezi kutenga 10k kwa ajiri ya afya ya mwanai kila kwanini unaendelea kuwapa wanawake mimba?