Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Mkuu ingekuwa ww ndiye unayepaswa kutoa hiyo milion tano kwa mwezi ambayo ni sawa na milion 60 kwa mwaka ungetoa? Jukum la kumlea mtoto ni la baba na mama je mobeto yupo tayar kuchangia ngap? Waambien dada zenu waache kushobokea masuper Star kwa gia ya kubeba mimba na kuwageuza kitega uchumi wasanii..... Na huu ni ukwel mchungu kumeza povu ruxa maninaaa
 
Huyu hana hata akilikinacho mfaa apewe 50,000 elfu tu. Huyu jamaa naye eti aibu kusema hana hizo pesa ungekuwa wewe bongo movie nyie nini? Ujinga mwingine mkubwa kulikohata mzigo wa upuuzi uliofanywa
 
Diamond ujanja wote kaingizwa chaka na huyo changu mchafu aisee.
Hakujua km analiwa timming, karudishwa tandale.
Mwisho atalipa tu hao mawakili lazima wapate chao
 
Ningekuwa ni msanii ninayelipwa millioni mia mbili kwa show au ningekuwa namiliki gari ya Mil mia sita ningeweza. Namshauri auze nyumba ya Africa kusini mtoto asife njaa.
Nyumba ya South asahau ule urithi wa watoto wa zari.
Huyu bwamdogo atajikuta siku anaporomoka na kuishiwa kwa spidi ya rocket .
 
Hamisa....."aiming for the moon, hoping to fall among the stars". Hapo target yake ni kama 1M kwa kwezi.
 
Huyu msichana akili zake ziko wapi? Au albadiri imemuangukia yeye. Milion 5 kwa mwezi kwa mtoto mdogo? Sidhani kama watu tungeweza kulea watoto wetu. Basi ampe diamond mtoto alelewe na bibi tiffa.
 
changu mchafu ni huyo diamond anaetomba kila mtu
Ni kweli sasa hìi ishu atapata akili kumkichwa kidogo, maana huyo demu kashika pabaya.
Zari kule nae atasema ukimpa tano yule na huku lete 10 ya wanao wawili .
Kazi ipo
 
5 milioni tshs. Si bei ya gari hiyo. Kwahiyo mobeto anataka magari 12 kwa mwaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…