Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Unadhani atalipa 5 mil?Ndo ajifunze kuvaa condom,milioni tano mbona kidogo sana.Kulea siyo rahisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani atalipa 5 mil?Ndo ajifunze kuvaa condom,milioni tano mbona kidogo sana.Kulea siyo rahisi.
Mkuu ingekuwa ww ndiye unayepaswa kutoa hiyo milion tano kwa mwezi ambayo ni sawa na milion 60 kwa mwaka ungetoa? Jukum la kumlea mtoto ni la baba na mama je mobeto yupo tayar kuchangia ngap? Waambien dada zenu waache kushobokea masuper Star kwa gia ya kubeba mimba na kuwageuza kitega uchumi wasanii..... Na huu ni ukwel mchungu kumeza povu ruxa maninaaaMsanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.
Diamond amewasilisha majibu hayo katika Mahakama ya Watoto Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka baada ya Mobeto kumfungulia kesi ya madai katika Mahakama hiyo ya watoto akidai mambo mbalimbali ikiwamo matunzo ya mtoto.
Katika majibu yake Diamond amedai fedha hizo anazodai Hamisa kulipwa kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.
Mobeto katika maombi yake kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck wa Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys, anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, mtoto huyo wa kiume aliyezaa na msanii huyo na kumuomba msamaha kwa umma kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.
Baada ya kupokea majibu hayo mahakama iliahirisha kesi hiyo ya madai hadi Novemba 8, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa. Mobeto kupitia wakili wake walimpa notisi Diamond ya kutaka amwombe radhi na kupeleka matunzo ya mtoto ndani ya siku saba lakini notisi hiyo haikutekelezeka hivyo aliamua kulifikisha suala hilo mahakamani.
je majizo analipa ngapi? hawa hawana maono wanafanya upande wa pili uchukie mtoto kwa kukomoa wanaumeDaaaaaaah angezaa na hamorapa angedai hizo fedha jaman
changu mchafu ni huyo diamond anaetomba kila mtuDiamond ujanja wote kaingizwa chaka na huyo changu mchafu aisee.
Hakujua km analiwa timming, karudishwa tandale.
Mwisho atalipa tu hao mawakili lazima wapate chao
Nyumba ya South asahau ule urithi wa watoto wa zari.Ningekuwa ni msanii ninayelipwa millioni mia mbili kwa show au ningekuwa namiliki gari ya Mil mia sita ningeweza. Namshauri auze nyumba ya Africa kusini mtoto asife njaa.
Ni kweli sasa hìi ishu atapata akili kumkichwa kidogo, maana huyo demu kashika pabaya.changu mchafu ni huyo diamond anaetomba kila mtu
Na atapata laki 2Hamisa....."aiming for the moon, hoping to fall among the stars". Hapo target yake ni kama 1M kwa kwezi.
Utafikiri yeye hana mikono5 milioni tshs. Si bei ya gari hiyo. Kwahiyo mobeto anataka magari 12 kwa mwaka...