Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Wewe unaosema milioni tano ni hela ndogo huna uelewa na masuala ya pesa..Diamond hajakosa milioni tano lakini anayo mambo ya msingi zaidi ya kufanya na hiyo milioni tano kuliko kwenda kuitupa kwa Gold digger anayetumia kivuli cha mtoto ili kumchuna baba wa mtoto...Think brother....Acha kuwa na akili iliyolala..Ndo nyie ambao mnapenda kuishi nje ya uwezo wenu na mkiona mtu mwenye nazo anathibiti pesa zake zisipoetee kijinga jinga mnaita ubahili wakati matajiri wanaita financial management..Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, ....
Nyie ndo Think tank wa huyo Mabeto sijui?Alipe ndio.
Wewe unayeona ni aibu, hebu tuwekee hapa mchanganuo wa Sh.5000,000 kwa mwezi kwa mtoto mmoja!!!!Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.
Kupata 1M ni ngumu, labda 500K! Lakini hata ikiwa 1M, unadhani itafanana na zile ambazo angekuwa anazinyonya kimya kimya kabla hajaamua Instagram iwe ndiyo mahakama ya suala lao?!Hamissa mjanja sana anajua mond hawezi kukubali kulipa hiyo hela hata mahakama haiwezi kukubali ilo ila itashushwa na ikishushwa haiwezi kua chini ya milioni 1 kwa mwezi, hata mahakama wanaangalia kipato cha baba...huwezi kuwa kwa mwezi baba unapata milion 10 au 20 halafu mtoto umpe laki 2 kwa mwezi hiyo ilikua zamani.
Mange kimambii mshauri wake piaHuyu binti anawashauri wabaya mno ,,sijui hana watu wenye busara around wamshauri mwisho wa siku wote ni wazazi tuu ,,apo ataambulia elfu 3000 kwa siku, kwa muenendo huo wa kujifanya victim wakati anajua mipango yake vizuri sana
Alisema anatoa 70 per day so he is capable na kingine ukute hamisa anajua south zinapelekwa kias gani ndo maanaMilioni 60 kwa mwaka!!! Hivi huyo baby DP anakula chakula gani vile chenye gharama kubwa kiasi hicho!?
Naona umezaa na Bill gates hao watotoSio mtoto, nina watoto.
Hahahaaaaaaaa kwa mwaka million 60 amekuwa Kiwanda π±πππKila baada ya siku 30
Ha haa haa haaa!!!milioni tano???????!!!!!!.....mtoto anakula kama faru fausta auN
Ukishapoteza ndo bai baiiiii..........Mjini msingi kiuno