Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Tafuta hela masikini wewendugu yangu Christopher paul huku siyo TikTok au Facebook.
Tafuta hela masikini weweHuyajui mafanikio Bado,endelea kukuwa ndio utajuwa kwamba ulichonacho ni Cha kawaida sana.
Tafuta hela masikini weweUwezi❌
Huwezi☑️
Urofa❌
Ulofa☑️,,,"Alafu mpuuzi atakuja kusema maskini wewe,,,Tafuta Hela"
Tafuta hela masikini weweF@( ¥•~
Tafuta hela masikini weweOyaa mkuu
Mbona bandika nyuzi tu, wewe ni kubandika, bandika tu.
Masikini ni wewe unaelazimisha watu wajuwe kama una Hela,debe t upu haliachi kupiga kelele, Sasa wewe una ela gani ?Tafuta hela masikini wewe
Ukiniona popote simamisha gari langu niombe pesaChief naomba msaada kaka nina changamoto inahitaji kiasi cha fedha natanguliza shukrani
Tafuta hela masikini weweMasikini ni wewe unaelazimisha watu wajuwe kama una Hela,debe t upu haliachi kupiga kelele, Sasa wewe una ela gani ?
Hapo ndio mwisho wako wa kufikiri?Tafuta hela masikini wewe
Tafuta hela masikini weweHapo ndio mwisho wako wa kufikiri?
Nipo mkoani tajiriUkiniona popote simamisha gari langu niombe pesa
Natembeaga mikoa yote ukiniona simamisha gari niombe pesaNipo mkoani tajiri
Hamna hata Nukta kwenye maandishi yako, kweli unatukalipia kwa hasira nyingi sana.Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake zenu maana wake zenu wananitumia sms wanaomba pesa sababu wanajua Mimi ni tajiri ngoja niwatunzie wake zenu sababu nyie ni masikini na mtakufa na huo ulofa wa umasikini