Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

Mimi nna wewe Leo!
Huo ushaufu unatuletea.
Mimi Sina njaa,najua maana ya Hela ni nini!
Naziuza na kuzinunua Kila siku!
Hiyo commodity tu kama mandazi au mchanga!
Wewe unatutambia makaratasi!
Mshamba wewe bwege mkubwa.
usipanic mkuu, hili jukwaa la vichekesho
 
Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake zenu maana wake zenu wananitumia sms wanaomba pesa sababu wanajua Mimi ni tajiri ngoja niwatunzie wake zenu sababu nyie ni masikini na mtakufa na huo ulofa wa umasikini
mkuu fidodido endelea kutuma vichekesho mkuu ndio jukwaa lake
hili usijali maneno ya watu
 
Tafuta hela masikini wewe
Bado hujasema,hunitii fedheha.
Wewe ndio masikini,hujui maana ya hayo makaratasi unayomiliki.
Kama una kisharwara Sema tukuhudumie.
Unaongea kama unamsuta mtu!
Mwanaume Gani wewe unakuwa Shangingi!
Ndio maana nasema wanakugusa wewe.
Mimi sio masikini,Wala Hela sijaanza kuziona Leo.
Limbukeni wewe
 
Bado hujasema,hunitii fedheha.
Wewe ndio masikini,hujui maana ya hayo makaratasi unayomiliki.
Kama una kisharwara Sema tukuhudumie.
Unaongea kama unamsuta mtu!
Mwanaume Gani wewe unakuwa Shangingi!
Ndio maana nasema wanakugusa wewe.
Mimi sio masikini,Wala Hela sijaanza kuziona Leo.
Limbukeni wewe
Tafuta hela masikini wewe
 
Sawa tajiri..

Toa michongo bac jinc yakutafuta hzo pesa nyingi niachane na hii kazi ya kufagia Barabara HP mkoania
 
Back
Top Bottom