zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
How do you inspire watu ili waone na kuthamini vitu vya nchi yao? Ufanye mambo kimya kimya kisa ni vitu vidogo?hii approach yako ni very wrong kabisa. ni sawa na kusema kama hukucheza michezo ya kupika pika na sasa umezeeka basi inabidi uicheze.
Yes hakuna anayekataaa kuwa kila kitu kilikuwa kimekufa lakini fikra zetu za leo ziendelee kuwa za kisasa. tusidumazwe na ucheleweshaji tulioupitia huko nyuma
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Tusiposheherekea achievements za ununuzi wa ndege, hatutaweza kusheherekea siku nchi ikizindua treni zake za umeme, au kusheheherekea siku tutakapozindua kuanza kutumika umeme wa bwawa la Nyerere. Hatutasheherekea hata nchi ikifikia viwango vya kurusha satellites.
How do you build a national pride?