Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yalianza miaka 3 nyuma

Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yalianza miaka 3 nyuma

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Ni aibu kubwa na unafiki Kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yameanza miaka mitatu nyuma, hii ni chuki ya udini.
 
Ni aibu kubwa na unafiki Kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yameanza miaka mitatu nyuma, hii ni chuki ya udini.
Ulianza miaka gani sasa?
Ulimboka - Mtekwa wa kwanza- alipigwa, na kukatwa katwa vidole akakutwa Mwenapande
Absolom Kibanda - Alingolewa hadi meno - huyu aliponea SA

Sasa shehe wewe unasemaje? Ulikua unataka umtwishe JPM, hapana wote huu utekaji ni mpango wa CCM, ndiyo maaana tunasema CCM ikifa na laana ya nchi hii ndiyo itakoma
 
Tec wanakemea utekaje yeye anaongelea mambo ya uislamu wake na wa rais,sijui akili wanaziweka wapi hawa watu
 
Back
Top Bottom