Pre GE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ndiye unapaswa kunywa maji kupunguza msongo wa mawazo uliokujaa.
Msongo wa mawazo unao wewe ambaye kila siku ni kuandika Ushubwada hapa JF!,Umeokota huko mtaani habari za Chadema na kuzileta hapa,OK, zimekusaidia nini au zinatusaidia nini wana JF?

Lete habari zitakazomsaidia mtanzania,siyo Ushakuna na umbeya!

Tumia bando lako kuandika mada zenye akili timamu ili kujenga hoja zenye chanya na siyo vioja!
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na kuwavunja moyo wafuasi wake kila uchwao,ni chama kilichojaa ubabaishaji na janja janja sana.

Nimeshangaa kutazama video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakijaribu kupigana ngumi huku wakishikwa na kuzuiwa na wenzao katika uchaguzi ambao umeishia kuvunjika kwa mara ya pili tena baada ya kutokea kwa vurugu huko mkoani Njombe.

Kikao ambacho alikuwepo pia Naibu katibu mkuu wake Bara Benson Kigaila. Mambo ambayo kamwe na katu huwezi kuyaona yakitokea wala kufanyika ndani ya CCM. huwezi ukakuta mambo ya aibu kiasi kile cha kuzua vurugu mbele ya kiongozi wa kitaifa yakitokea. Sasa leo CHADEMA inashindwa kusimamia hata suala dogo tu la uchanguzi wa ndani na kuishia kuvunjika.

Kigaila mwenyewe ni kama haeleweki na haelewi afanye nini kusimamia uchaguzi ufanyike na kumalizika kwa amani. Maana nilipomsikiliza akizungumza nikagundua hata yeye anaweza kuwa sehemu ya chanzo cha vurugu.kwa sababu ilitakiwa awasomee wajumbe kanuni zinazoongoza uchaguzi huo kwa mujibu wa katiba ya chama .ilitakiwa aeleze waziwazi kabisa ni nani ni wajumbe halali na wanapatikanaje. Badala ya kutumia maneno ya ubabe na vitisho jambo ambalo wajumbe wamegoma kukubaliana nalo.

Hivi CHADEMA ni lini chama hiki kitakomaa? Ni lini chama hiki kitaacha ubabaishaji na vululu vululu? CHADEMA ni chama cha ajabu na kilichokosa muelekeo na Dira. Nimewasikia wajumbe pia wakilalamika pia kuwa kuna kiongozi mkubwa wa juu ndio anavuruga uchaguzi huo kwa maslahi yake .

CHADEMA ina mengi sana ya kujifunza kutoka kwa CCM chama kiongozi barani Afrika na mfano wa kuigwa DUNIANI kwote. Ndio maana wanachadema wengi sana wanaendelea kumiminika kwa wingi sana kuchukua kadi za CCM kuwa wanachama wake ,baada ya kuwa wamechoka na ubabaishaji unaofanyika na kuendelea ndani ya CHADEMA.

Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni ndani ya CCM wana CHADEMA wote waliochoshwa na ubabaishaji wa huko.njooni tujenge nchi yetu,njooni tuungane na Mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama mwenye upendo na uzalendo wa dhati kwa Taifa letu. Nendeni kwenye matawi ya CCM mchukue kadi na kuungana na mamillioni ya wazalendo waliopo ndani ya CCM.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Duuh
 
Duuuh
 
Hizi pesa unazoweka Bando kila siku halafu unaishia kuandika Udaku na Ushambenga kwa mambo yasiyokuwa na tija kwa Watanzania,ungekuwa unazituma huko kijijini kwenu tayari ungekuwa umekamilisha banda la kuku ambao wangekutoa kwenye umasikini!
Mwambie ukweli huyu pimbi!
 
Popote wanaume wanapokutana hasa kwenye ushindani ngumi na Qumamake sio vya kuuliza.
wewe unashangaa chadema kutaka kuzichapa kwa vile jinsia yako huijui bado
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na kuwavunja moyo wafuasi wake kila uchwao,ni chama kilichojaa ubabaishaji na janja janja sana.

Nimeshangaa kutazama video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakijaribu kupigana ngumi huku wakishikwa na kuzuiwa na wenzao katika uchaguzi ambao umeishia kuvunjika kwa mara ya pili tena baada ya kutokea kwa vurugu huko mkoani Njombe.

Kikao ambacho alikuwepo pia Naibu katibu mkuu wake Bara Benson Kigaila. Mambo ambayo kamwe na katu huwezi kuyaona yakitokea wala kufanyika ndani ya CCM. huwezi ukakuta mambo ya aibu kiasi kile cha kuzua vurugu mbele ya kiongozi wa kitaifa yakitokea. Sasa leo CHADEMA inashindwa kusimamia hata suala dogo tu la uchanguzi wa ndani na kuishia kuvunjika.

Kigaila mwenyewe ni kama haeleweki na haelewi afanye nini kusimamia uchaguzi ufanyike na kumalizika kwa amani. Maana nilipomsikiliza akizungumza nikagundua hata yeye anaweza kuwa sehemu ya chanzo cha vurugu.kwa sababu ilitakiwa awasomee wajumbe kanuni zinazoongoza uchaguzi huo kwa mujibu wa katiba ya chama .ilitakiwa aeleze waziwazi kabisa ni nani ni wajumbe halali na wanapatikanaje. Badala ya kutumia maneno ya ubabe na vitisho jambo ambalo wajumbe wamegoma kukubaliana nalo.

Hivi CHADEMA ni lini chama hiki kitakomaa? Ni lini chama hiki kitaacha ubabaishaji na vululu vululu? CHADEMA ni chama cha ajabu na kilichokosa muelekeo na Dira. Nimewasikia wajumbe pia wakilalamika pia kuwa kuna kiongozi mkubwa wa juu ndio anavuruga uchaguzi huo kwa maslahi yake .

CHADEMA ina mengi sana ya kujifunza kutoka kwa CCM chama kiongozi barani Afrika na mfano wa kuigwa DUNIANI kwote. Ndio maana wanachadema wengi sana wanaendelea kumiminika kwa wingi sana kuchukua kadi za CCM kuwa wanachama wake ,baada ya kuwa wamechoka na ubabaishaji unaofanyika na kuendelea ndani ya CHADEMA.

Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni ndani ya CCM wana CHADEMA wote waliochoshwa na ubabaishaji wa huko.njooni tujenge nchi yetu,njooni tuungane na Mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama mwenye upendo na uzalendo wa dhati kwa Taifa letu. Nendeni kwenye matawi ya CCM mchukue kadi na kuungana na mamillioni ya wazalendo waliopo ndani ya CCM.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi wewe mjinga wa taifa,unahangaika Nini na mambo ya watu yasiyokuhusu! ? Kubwa jinga wewe!
 
Bora wanaopigana ngumi kuliko mboga mboga wanaolishana sumu.
 
Tangu uanze kujikomba bado hujateuliwa kuwa DC?
 
Ukiwa chawa unaishiwa akili za kibinadamu
 
Jinga kati ya Jingalao ndani ya uvccm
 
Erythrocyte
 
Hata nchi ikiingia vita huwa ni mbele ya viongozi wake. Kama wema unaweza kutendeka mbele ya viongozi, hata ubaya unaweza kutendeka mbele ya viongozi, kwa sababu ubaya ni kivuli cha wema.
 
Back
Top Bottom