Pre GE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakati mzee walioba anapigwa makofi na kinamakonda ulikuwepo?
 
Unaacha kushangaa wapiga sarakasi kwenye jengo la maaamuzi,unashangaa wanaopigania haki itendeke kwa maslahi ya chama na taifa ili kuzuia pesa chaaafu kuwavuruga,uzuri walitaadharishana mapema wangenyamaza sijui mngechongaje🤔
 
Popote wanaume wanapokutana hasa kwenye ushindani ngumi na Qumamake sio vya kuuliza.
wewe unashangaa chadema kutaka kuzichapa kwa vile jinsia yako huijui bado
Akili zenu CHADEMA mnazijuwa wenyewe.Ni watu msiojitambua .pengine ndio maana ni watu wa mivurugu na mihemuko tu muda wote.
 
Hata nchi ikiingia vita huwa ni mbele ya viongozi wake. Kama wema unaweza kutendeka mbele ya viongozi, hata ubaya unaweza kutendeka mbele ya viongozi, kwa sababu ubaya ni kivuli cha wema.
CHADEMA kila mtu ni kambale na beberu.hakuna wa kumsikiliza mwenzake wala kusikiliza utaratibu na kanuni inasema nini. Wao wanakwenda kwa kadri akili zao zinavyowatuma na kuwapeleka.
 
Unaacha kushangaa wapiga sarakasi kwenye jengo la maaamuzi,unashangaa wanaopigania haki itendeke kwa maslahi ya chama na taifa ili kuzuia pesa chaaafu kuwavuruga,uzuri walitaadharishana mapema wangenyamaza sijui mngechongaje🤔
Maslahi gani ya Taifa wanayopigania CHADEMA zaidi ya kupigania matumbo yao?
 
Unashagaa ya Chadema,Tukumbushe Makonda alivyompiga Warioba tena kwenye mkutano wa kikatiba na Viongozi wameshindwa kusema lolote mpaka leo.
 
Safi sana,na bungeni walitakiwa wawe wanatandikana hivyo

Ova
 
Mbele ya mama mabilion yanaibiwa kwa kutumia control number fake na eye amebariki
 
Ndugu wakigombana chukua jembe kalime
 
CHADEMA kila mtu ni kambale na beberu.hakuna wa kumsikiliza mwenzake wala kusikiliza utaratibu na kanuni inasema nini. Wao wanakwenda kwa kadri akili zao zinavyowatuma na kuwapeleka.
Hii si sifa ya Chadema ni moja ya tendencies za ubindamu wetu - wewe na mimi - tukiwemo.
 
Hivi wewe hukuona Ndugai akipiga mtu fimbo kwenye uchaguzi mpaka kuzimia? Au Ndugai naye ni chadema?
 
CHADEMA inaelekea shimoni kwa kasi kubwa sana .
Wewe hapo ulipo ni shimoni kabisa hakuna kitu cha maana unachofanya kwa maisha yako zaidi ya kuandika umbea kuhusu Chadema chama ambacho siku zote humu unadai kimekufa, ina maana uko nacho huko shimoni ndiyo maana unaona mambo yao ya kila siku.
 
Nimelia sana yaani hata kwenye uchaguzi wao kuna mtu wanalalamika kuibiana ,machozi yananitoka hapa ,nilishangaa kumbe kulalamika ni kawaida yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…