Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Mimi nimemjua baada ya tuzo. Lakini mimi ni serikali? Tumia akili we mavi.Wewe ulikuwa unamfahamu kabla ya tuzo ama nawe ni kama serikali umemjua baada?
Mkuu tatizo sio kuwa na katiba mpya sasa, tatizo ni hao wanaoaminiwa kusimamia matakwa ya katiba. Wengi ni wanafiki na wabinfsi tu.Hayo yote ni madhara ya kuendelea kuwa na katiba iliyopitwa na wakati.
Tukudai katiba mpya muwe mnatuelewa basi kabla ya kutuona kuwa sisi ni wapinzani.
Ukweli mtupu.Wanafiki tu....It is hypocrite, Yaani leo ndiyo mnamuona anafaa. Nchi gani isiyojali watu wenye asili yake? Yaani wanafikiri kuwanyang'anya mali zao kisa tu watanzania wamebadilisha uraia ili wapate maisha mazuri na wawasaidie nyumbani huku. Hili Taifa ni la ovyo mno, limejaa watu wenye wivu kupindukia. Kwa taarifa yenu Professor Gurnay siyo mtanzania na si haki kumwita mtanzania, mmemnyima uraia pacha halafu leo mnamwita ni Mtanzania. Shame on you all!
Ndio ile bangi ikikutwa shambani kwako hiyo ni mali yako, ila dhahabu ikikutwa shambani kwako hiyo ni mali ya serikali"tafakariSiku hizi tuna uraia pacha?
Ana uraia wa wapi huyo?
Tena ukizingatia watanzania wengi hatupendi kusoma vitabu ilikuwa ni ngumu sana kumjua kirahisi kama ilivyo kwa diamond platnumz[emoji1787][emoji23] yeye aliyekuwa anamjua angeanza mapema sana kumtambulishi kwenye jamii yake.Kwani Ni jukumu la Nani kum aknowlegde mchango wake...hata wewe ungeweza kum aknowlegde inaruhusiwa
Tunahitaji katiba mpya hayo maelezo ni muendelezo wa watawala wanao ogopa katiba mpya.Mkuu tatizo sio kuwa na katiba mpya sasa, tatizo ni hao wanaoaminiwa kusimamia matakwa ya katiba. Wengi ni wanafiki na wabinfsi tu.
Kama hawawezi kutekeleza kikamilifu yaliyomo kwenye katiba hii ya sasa hata ikiandikwa mpya kwa wino wa dhahabu bado haitasaidia kitu.
Kati ya maadui nambari moja kwa ustawi wa taifa letu ni hao wenye hiyo teamKwani umesahau kwamba tuna kwaya yetu ya praise and worship
Aliondoka late 1960's! Jana nilihoji ikiwa by the late 1960's, kulikuwa na security risk kwa kijana mdogo ambae hakuwa mwanasiasa. I know by that time, vijana wengine kama akina SAS walikuwa kwenye hiyo risk na ndo maana Mwalimu akamtupa ubalozini!Sio kweli kwamba alienda kama mkimbizi. Huyu aliondoka Zanzibar 1960 - kwa mujibu wa DW. Wakati huo hakukuwa na sababu ya ukimbizi.
Hii nimeiona na ya DW nimeiona. Kwa mujibu wa sheria ya uraia ya Tanzania 1995 mtu yeyote aliyekuwa raia wa Tanganyika au Zanzibar kabla au siku ya tarehe 26 April 1964 huyo ni Mtanzania ikiwa uraia wake haujapotea kwa mujibu wa sheria. Ikiwa Gurnah hajaukana Utanzania au ukawa umeondoka kisheria basi yeye Bado ni Mtanzania.Gurnah grew up on one of the islands of Zanzibar before fleeing persecution and arriving in England as a student in the 1960s.
Soma na hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
Gurnah was born in 1948, growing up in Zanzibar. When Zanzibar went through a revolution in 1964, citizens of Arab origin were persecuted, and Gurnah was forced to flee the country when he was 18. He began to write as a 21-year-old refugee in England, choosing to write in English, although Swahili is his first language.
Hili nimelisema sana kwamba kwa mujibu wa sheria ya uraia ya Tanzania 1995 Gurnah ni Mtanzania maadam uraia huo haujaondoka kisheria.Aliondoka late 1960's! Jana nilihoji ikiwa by the late 1960's, kulikuwa na security risk kwa kijana mdogo ambae hakuwa mwanasiasa. I know by that time, vijana wengine kama akina SAS walikuwa kwenye hiyo risk na ndo maana Mwalimu akamtupa ubalozini!
Conclusion yangu, Mwamba alitumia janja ile ile ya Watanzania na kwingineko Afrika... kwamba unazamia mbele kwa gia ya ukimbizi na Wazanzibari wanatumia sana hii mbinu,!!
Mwaka juz Makonda alipoanza ku-deal na mashoga, nilipata issue za Wazanzibari wawili walioingia Marekani kwa hoja kwamba maisha yao yapo hatarini kwa sababu ya wao kuwa mashoga. Na hapa ninapoongea, jamaa wote wawili wanakula pesa ya Joe Biden Unyamwezini!
All in all, hadi kesho, pamoja na kuchimba sana lakini sijaona popote ambapo Abdulrazak Gurnah kutajwa kama Mwingereza. Sources zote zinamtaja kama Mtanzania au Zanzibar-born based in UK!
Na lingine ambalo watu hawalifahamu ni kwamba, sio kwamba jamaa baada ya kutoka ZNZ hakuwahi kurudi tena bali back 1984, ndipo kwa mara ya kwanza alirudi ZNZ tangu alipoondoka!!
Ishu iliopo hapo ni Raia wa Tanzania au hana asili ya Tanzania visiwani .Hii
Hii nimeiona na ya DW nimeiona. Kwa mujibu wa sheria ya uraia ya Tanzania 1995 mtu yeyote aliyekuwa raia wa Tanganyika au Zanzibar kabla au siku ya tarehe 26 April 1964 huyo ni Mtanzania ikiwa uraia wake haujapotea kwa mujibu wa sheria. Ikiwa Gurnah hajaukana Utanzania au ukawa umeondoka kisheria basi yeye Bado ni Mtanzania.
Soma historia yake vizuri, ni kati ya waliokimbia wakati wa mapinduzi. Alikuwa upande sultani.Sio kweli kwamba alienda kama mkimbizi. Huyu aliondoka Zanzibar 1960 - kwa mujibu wa DW. Wakati huo hakukuwa na sababu ya ukimbizi.
Kwahiyo serikali ina database ya kila mtu na shughuli afanyazo?Mimi nimemjua baada ya tuzo. Lakini mimi ni serikali? Tumia akili we mavi.
Ajabu... Sasa hiyo katiba utaipata kwa lazima kama watawala wa sasa hawaoni umuhimu?.😳Tunahitaji katiba mpya hayo maelezo ni muendelezo wa watawala wanao ogopa katiba mpya.
Kwa usahihi ni 1968 ndio aliondoka ila wana generalise kwa kuandika 1960sSoma historia yake vizuri, ni kati ya waliokimbia wakati wa mapinduzi. Alikuwa upande sultani.
Watalimushwa tuAjabu... Sasa hiyo katiba utaipata kwa lazima kama watawala wa sasa hawaoni umuhimu?.😳
Umesoma kazi alizofanya Prof Gurnah? Kama ni mtu anayethaminiwa kabla alitakiwa serikali imtambue mapema sana.Kwahiyo serikali ina database ya kila mtu na shughuli afanyazo?