Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

Pia uwaulize KATIKA misimu 4 ambayo wameingia robo robo wameleta nini,,wenzao yanga wanacho kitu mezani ambacho ni medali ya mshindi wa pili na kucheza fainali,,wao mwakarobo waulize Wana nini mkononi
 
Vipi kichaka cha CAF ranking umekifyeka? kama Nyoka wengi tuambie pia
 
Pia uwaulize KATIKA misimu 4 ambayo wameingia robo robo wameleta nini,,wenzao yanga wanacho kitu mezani ambacho ni medali ya mshindi wa pili na kucheza fainali,,wao mwakarobo waulize Wana nini mkononi
Kwenye rankings za CAF wapo juu ya Yanga Kwenye ratiba wanakuwa kwenye seeding 1.
Ndio sababu haswa ya Tanzania kuingiza timu 4.Na aliyefaidika wa kwanza Ni Yanga ila hamkutumia nafasi mlizopata vizuri. Mkatolewa mapema na Rivers United ya Nigeria.
 
Kuna gombaniwa kombe ata kufika nusu tu ya icho kikombe umeshagusa achilia mbali kuvaa medali
Simba ndiyo timu ya kwanza na ya pekee kutoka Tanzania kuingia nusu fainali ya Klabu Bingwa ya Afrika mwaka 1974.
Walicheza na Mehalla El Kubra ya Misri.Mechi ya kwanza Dar Simba alishinda goli 1 lililofungwa na Saad Ally.
Mechi ya marudiano Simba alifungwa goli 1 na baadaye kutolewa kwa penalti.
Ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa kijijini hujaanza kupenda mpira?
 
Waache wajijaze upepo wakija homu sisi akina kengold,coastal,pamba muji tuwanyoroshe ili wajue huko walikutana na vibonde zaidi ya vibonde wa championship
 
Thank you for your illogic point 🚶🏽‍♂️
 
Kunatimu kama Orando pirates, Wydad Casablanca, Kaiser chief, Alhilal, Young African Hizi timu bora zisishiriki mashindano ya CAF kuliko kucheza shirikisho
 
Unatuletea historia hapa ya miaka 50 iliyopita unajielewa kweli wewe,,tuonyeshe basi iyo medali ya mwaka 1974,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…