Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo bil 1.7 danganya wajinga wenzio wa utopolo tu.Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Haya mashindano ambayo Yanga, mwamba wa mpira alifika final na sio robo na aliona kawaida tu, Leo ndo mtani anatamba nayo
Mashindano ya shirikisho ambayo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano yenu ya akina mama, Leo ndo mtani anatamba nayo
Yanga tumeishia hatua ya group stage ambapo tumevuna billion 1 .7 wakati, mtani akifika final atapata million 900 tu
Hapa ndo muone tofauti ya CAFCL na shirikisho
Mashabiki wa Simba
Rage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita wasiojitambua
Mangungu akawaletea Manzoki kupiga nae picha, ila hakuwahi kucheza Simba
Yanga bila ya kudanganya hamjisikii raha😆😀😃😃Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hyo medali mpka utazeeka Simba haitokuja ipataNi aibu kwa timu kama Yanga kujisifu eti wana medali ya shirikisho ya CAF.