Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo

Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo

Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo

Haya mashindano ambayo Yanga, mwamba wa mpira alifika final na sio robo na aliona kawaida tu, Leo ndo mtani anatamba nayo

Mashindano ya shirikisho ambayo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano yenu ya akina mama, Leo ndo mtani anatamba nayo

Yanga tumeishia hatua ya group stage ambapo tumevuna billion 1 .7 wakati, mtani akifika final atapata million 900 tu
Hapa ndo muone tofauti ya CAFCL na shirikisho

Mashabiki wa Simba
Rage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita wasiojitambua
Mangungu akawaletea Manzoki kupiga nae picha, ila hakuwahi kucheza Simba
Hiyo bil 1.7 danganya wajinga wenzio wa utopolo tu.
CAF haitoi pesa yeyote group stage.
Pesa inaanza kutolewa hatua ya quarter final tu
 
Back
Top Bottom