Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Watambe na nini furaha ya kuwa na timu bora ni ushindi tu na siyo vingine yo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ambae hata makundi kutoboa ni kazi unafaa kukaa meza moja na mimi au nikuupuuze,kwanza simba alishafika mpaka fainali mwaka 1993 na stellar abijan so huna cha kujivunia ni vile simba hatuna ulimbukeni kama nyinyi, hao Berkane na Zamalek kuchukua kombe ni zilipendwa haiondoi ukubwa wa simba.Hao Zamalek na Berkane wameshawahi kulibeba hilo kombe wewe hata nusu haujawahi fika cheza hata fainali au beba kabisa kombe ndio utaweza kujiita mkubwa ikiwa kila anaeishia robo atajiita mkubwa na aliyecheza fainali ajiite nani
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbuWewe ambae hata makundi kutoboa ni kazi unafaa kukaa meza moja na mimi au nikuupuuze,kwanza simba alishafika mpaka fainali mwaka 1993 na stellar abijan so huna cha kujivunia ni vile simba hatuna ulimbukeni kama nyinyi, hao Berkane na Zamalek kuchukua kombe ni zilipendwa haiondoi ukubwa wa simba.
Now days kila kitu kipo kwa Google so ili kuthibitisha ulichosema kuwa hamna ulimbukeni tuonyeshe picha ya wachezaji wa simba wakivishwa medali za CAF na ukishindwa itakuwa nawe ni zilipendwaWewe ambae hata makundi kutoboa ni kazi unafaa kukaa meza moja na mimi au nikuupuuze,kwanza simba alishafika mpaka fainali mwaka 1993 na stellar abijan so huna cha kujivunia ni vile simba hatuna ulimbukeni kama nyinyi, hao Berkane na Zamalek kuchukua kombe ni zilipendwa haiondoi ukubwa wa simba.
Acha upuuzi, yaani timu ya confederation cup a.k.a shirikisho itambe kutoboa Champions Leogue aka ligibya mabingwa.Simba hii hii ingekuwa ktk kundi lenu la vobonde ingetoboa.
Hujiulizi kwa nini mwanzoni mlivyotajiwa mmepangwa kundi hilo tu mlishangilia sana mkijua mpira ni rahisi sana?
Mlivyokuwa mnawaita Simba mwakarobo mlijua klabu bingwa ni nyepesi sana,sasa hivi kwa hatua,mliyoishia na kulitia aibu Taifa mnaitwa CHIKUNDI FC
Hapa tunalinganisha simba na yanga ndugu utopolo asec mimosas siyo timu ndogo, tukisema tuchambue visingizio vya timu basi yanga ndio mnaongoza kwa kuwa na visingizio vingi tena visivyo na kichwa wala miguu, hoja hapa ni kulinganisha ukubwa wa simba na yanga usitake kuchepusha hojaAsec mimosa kila mwaka wanauza wachezaji tena wale walio katika viwango bora kabisa na husajiri upya na wala hawajawahi kuja na visababu vya kujenga timu
Hahaha taratibu kiswahili kinaanza kubadilika mara hii tena simba imekuwa haina kikosi kibovu simba hii mnayosema inacheza mpira wa papatu papatu na inashinda kibahati tu, uzuri wenu mashabiki wa yanga huwa mkibanwa mahali padogo tu mnakosa pa kutokea na hatimaye mnaanza kukinzana na maneno yenu wenyewe na kukubali kuwa simba ni timu kubwa, haya tuachane na msimu huu simba ya msimu uliopita ambayo ilikuwa mbovu kabisa kiasi kwamba mashabiki karibu wote waliikatia tamaa mbona ilifika robo klabu bingwa sawa na yanga ambayo ilikuwa na kikosi boraSimba haina kikosi kibovu, wewe ndo akili yako mbovu
Acha umbumbumbu wakoHapa tunalinganisha simba na yanga ndugu utopolo asec mimosas siyo timu ndogo, tukisema tuchambue visingizio vya timu basi yanga ndio mnaongoza kwa kuwa na visingizio vingi tena visivyo na kichwa wala miguu, hoja hapa ni kulinganisha ukubwa wa simba na yanga usitake kuchepusha hoja
Hahaha taratibu kiswahili kinaanza kubadilika mara hii tena simba imekuwa haina kikosi kibovu simba hii mnayosema inacheza mpira wa papatu papatu na inashinda kibahati tu, uzuri wenu mashabiki wa yanga huwa mkibanwa mahali padogo tu mnakosa pa kutokea na hatimaye mnaanza kukinzana na maneno yenu wenyewe na kukubali kuwa simba ni timu kubwa, haya tuachane na msimu huu simba ya msimu uliopita ambayo ilikuwa mbovu kabisa kiasi kwamba mashabiki karibu wote waliikatia tamaa mbona ilifika robo klabu bingwa sawa na yanga ambayo ilikuwa na kikosi bora
Unajua unachonifurahisha ni kwamba unazidi kuja kwenye hoja yangu yani taratibu akili zinaanza kuwarudia, sasa kama mnajua kuwa mpira ni bahati kwanini simba tu ikishinda ndio inaonekana ni bahati ila yanga ikishinda inaonekana ina kikosi bora, mnatumia vigezo gani hadi kuona kwamba simba ikishinda ni bahati ila yanga ikishinda ni bora au na sisi tumpe heshima luc eymaelAcha umbumbumbu wako
Kufika robo final au kutokufika haimaanishi kuwa timu ni Bora
Mpira Kuna bahati
Team kama spurs amecheza final na ligi ikiwa na Barcelona, Madrid, Juve
Young boys, Psv, Leipzig, Monaco n. K
Zimefika hatua kubwa za UEFA na timu kama Buyern, Ac Milan, Liverpool zikitoka hatua za kwanza, hii haina maana kama Psv inazizidi ubora
Acha kutulazimisha tumpe heshima Rage Kwa kuwatia mbumbumbu
Huwezi kuelewa na umbumbumbu wakoUnajua unachonifurahisha ni kwamba unazidi kuja kwenye hoja yangu yani taratibu akili zinaanza kuwarudia, sasa kama mnajua kuwa mpira ni bahati kwanini simba tu ikishinda ndio inaonekana ni bahati ila yanga ikishinda inaonekana ina kikosi bora, mnatumia vigezo gani hadi kuona kwamba simba ikishinda ni bahati ila yanga ikishinda ni bora au na sisi tumpe heshima luc eymael
Napata shida sana kujua utimamu wako unapoyakataa mashindano ya CAF Shirikisho yenye zawadi ya bilioni 5 na kuyakubali ya TFF Shirikisho yenye zawadi ya milioni 50. Wakati huo huo haujui hata kama hao Copco unaenda kucheza nao kombe la shirikisho.Copco ni timu ya mpira haipo shirikisho yaani UMISETA
Kwenye kundi lenu hakuna timu ya kumtetemesha Simba blazangu,wote ni maunderdog kwetu tuAcha upuuzi, yaani timu ya confederation cup a.k.a shirikisho itambe kutoboa Champions Leogue aka ligibya mabingwa.
Sawa mzee wa confederation aka shirikisho.Kwenye kundi lenu hakuna timu ya kumtetemesha Simba blazangu,wote ni maunderdog kwetu tu
Naam, na hapa ndipo uwezo wenu wa kujenga hoja ulipoishia mashabiki wa uto, vipi uko upande wa nani huko kwenye uchaguziHuwezi kuelewa na umbumbumbu wako
Hebu nifatilie uchaguzi chadema Mlimani city
Kwani unateseka ukiwa wapi...?Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Haya mashindano ambayo Yanga, mwamba wa mpira alifika final na sio robo na aliona kawaida tu, Leo ndo mtani anatamba nayo
Mashindano ya shirikisho ambayo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano yenu ya akina mama, Leo ndo mtani anatamba nayo
Yanga tumeishia hatua ya group stage ambapo tumevuna billion 1 .7 wakati, mtani akifika final atapata million 900 tu
Hapa ndo muone tofauti ya CAFCL na shirikisho
Mashabiki wa Simba
Rage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita wasiojitambua
Mangungu akawaletea Manzoki kupiga nae picha, ila hakuwahi kucheza Simba
Sasa kama hata hili unabisha una matatizo, google hata wewe unayo thibitisha mwenyewe, maana hata niki google mimi utanibishia.Now days kila kitu kipo kwa Google so ili kuthibitisha ulichosema kuwa hamna ulimbukeni tuonyeshe picha ya wachezaji wa simba wakivishwa medali za CAF na ukishindwa itakuwa nawe ni zilipendwa.
Pilipili ya shamba yakuwashia nini?Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Haya mashindano ambayo Yanga, mwamba wa mpira alifika final na sio robo na aliona kawaida tu, Leo ndo mtani anatamba nayo
Mashindano ya shirikisho ambayo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano yenu ya akina mama, Leo ndo mtani anatamba nayo
Yanga tumeishia hatua ya group stage ambapo tumevuna billion 1 .7 wakati, mtani akifika final atapata million 900 tu
Hapa ndo muone tofauti ya CAFCL na shirikisho
Mashabiki wa Simba
Rage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita wasiojitambua
Mangungu akawaletea Manzoki kupiga nae picha, ila hakuwahi kucheza Simba
Kafie mbele. Hakuna mwenye hatimiliki ya mashindano ya CAF.Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Haya mashindano ambayo Yanga, mwamba wa mpira alifika final na sio robo na aliona kawaida tu, Leo ndo mtani anatamba nayo
Mashindano ya shirikisho ambayo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano yenu ya akina mama, Leo ndo mtani anatamba nayo
Yanga tumeishia hatua ya group stage ambapo tumevuna billion 1 .7 wakati, mtani akifika final atapata million 900 tu
Hapa ndo muone tofauti ya CAFCL na shirikisho
Mashabiki wa Simba
Rage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita wasiojitambua
Mangungu akawaletea Manzoki kupiga nae picha, ila hakuwahi kucheza Simba
Sawa CHIKUNDI FCSawa mzee wa confederation aka shirikisho.
Natamani sana nawe utuambie mnavyoswmaga yanga ni bingwa mara 29 huo ubingwa unajumuisha historian ya miaka mingapi iliyopia, ikionekana inafika 50 nashauri ubadilike uache wehu utumie akili zako timamu ulizopewa na MunguUnatuletea historia hapa ya miaka 50 iliyopita unajielewa kweli wewe,,tuonyeshe basi iyo medali ya mwaka 1974,,