Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

sawa ila mbona sasa wewe ndio mbumbumbu zaidi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hujui mbumbumbu wako huko 5imba wapo wanaufurahia robo ya shirikisho 🤣
 
Kama mngekuwa Bora mngecheza CAFCL sio UMITASHUMITA yenu
Kama tunahonga kwenye ligi 5IMBA aliyefungwa mara nne mfululizo alihongwa bei gani
Shirikisho ni mashindano ya Namungo na Mlandege
Haya ongezea hizo bao 5 umefuzu sasa kucheza na copco shirikisho
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Haibadilishi maana kuwa mmetolewa makundi na mmelitia sana aibu Taifa mbali na kulidhalilisha

Imewauma sana ingawa mnalazimisha kujikaza

Pole sana,🤣🤣🤣🤣
Unailinganisha vip group stage ya CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
 
Tena aibu kubwa ni kupoteza pointi 5 nyumbani. Pamoja na kelele zote kundi lenu limeongozwa na wakimbizi waliopo kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Sio kuwa aibu anayo 5imba wanacheza rede kwenye mashindano ya akina mama
 
Simba haijawahi kulidhalilisha Taifa nyumbani wakati ipo kwenye peak yake.

Wakati sisi tuna timu mliyooiita mbovu kwenye klabu bingwa msimu uliopita tumetolewa robo

Nyie sasa hv wenye pakome,zingeli,chama,aucho,kwasi,mzize,aziz key upuuzi mtupu
 
Halafu inaleta ubishi wa kijinga ikidhani matokeo yatabadilika kwa kujifariji kwao huko

Wangefuzu wangebandika mabango nchi nzima hawa wehu,🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Simba haijawahi kulidhalilisha Taifa nyumbani wakati ipo kwenye peak yake.

Wakati sisi tuna timu mliyooiita mbovu kwenye klabu bingwa msimu uliopita tumetolewa robo

Nyie sasa hv wenye pakome,zingeli,chama,aucho,kwasi,mzize,aziz key upuuzi mtupu
Wacha nikupuuze mbumbumbu wa Rage
Huna hoja
Wacha nikasome nyuzi jukwaa la siasa,
 
Wacha nikupuuze mbumbumbu wa Rage
Huna hoja
Wacha nikasome nyuzi jukwaa la siasa,
Usikimbie mtani mwenye hoja mufilisi za kujifarijiiiii,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Sio kuwa aibu anayo 5imba wanacheza rede kwenye mashindano ya akina mama
Tumewaruhus zile goli 5 mlizotufunga mziongezee hapo kwa mkapa matokeo dhid ya usm alger yasome mwiko nyuma 5 vs usm algier & simba 1
Halafu nyie ndio mmefuzu robo fainali mnacheza na copco na kina mbuni ambao ni size yenu 🤣
 
Copco ni timu ya mpira haipo shirikisho yaani UMISETA
 
Back
Top Bottom