ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Wewe ndio mjinga wa mwisho kama sio wa kwanza. Umeona hoja alizoziweka mtoa mada? Jibu hizo pambaf.Ukiona hivi tu... Jua mtu Kishamlamba, sasa anaLaLama..!
KuLaLama Kwa sasa haisaidii, itathmini timu yako.. je inao uwezo wa Kushindana?
Umri Wa Wachezaji unaruhusu kushindana na Vijana.? Ni hayo tu.
Yaani mmeshikiwa akili hamjielewi, mnajisifu eti Mwembeyanga ni pazuri kuliko kwa Mkapa! Akili matope kabisa makolo.