MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Yanga kufeli ni kawaidaMpira una matokeo ya kustaajabisha, Yanga timu kubwa imetoka hatua za makundi ndo maana na wewe huamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga kufeli ni kawaidaMpira una matokeo ya kustaajabisha, Yanga timu kubwa imetoka hatua za makundi ndo maana na wewe huamini
Hawa hatuwatukani wala nini tunawajibu kwa hoja tu,🤣🤣🤣🤣🤣Huyu ni mmojawapo wa wavimba macho wa Gongowazi wasiojua lolote kuhusu mpira.
Mkiwa mnashiriki nyie ni mashindano makubwa,wakiwa wanashiriki simba aah ni mashindano madogo,mashindano ya looser n.k mnayapa majina mabaya ila sisi na wakubwa wenzetu kama Zamalek,Berkane tumetulia zetu.Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Haya mashindano ambayo Yanga, mwamba wa mpira alifika final na sio robo na aliona kawaida tu, Leo ndo mtani anatamba nayo
Mashindano ya shirikisho ambayo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano yenu ya akina mama, Leo ndo mtani anatamba nayo
Yanga tumeishia hatua ya group stage ambapo tumevuna billion 1 .7 wakati, mtani akifika final atapata million 900 tu
Hapa ndo muone tofauti ya CAFCL na shirikisho
Mashabiki wa Simba
Rage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita wasiojitambua
Mangungu akawaletea Manzoki kupiga nae picha, ila hakuwahi kucheza Simba
Masikini yani umepigwa spana hadi umepoteana umeamua kuandika pumba sasa kwahiyo copco imekuwa timu bora kwa sababu haishiriki cafcc aise hebu acha kuwavua nguo mashabiki wenzako wote wakaonekana ni wapumbavu, unasema yanga ni timu kubwa ndio maana hatuamini kama imeishia makundi wakati huo huo kichwa cha uzi wako kinasema "ni aibu timu kama simba kutamba na mashindano ya shirikisho" maana yake hata ninyi mnajua simba ni timu kubwa ndio maana mnaona hawastahili kutamba na mashindano haya, na nikukumbushe tu hapo walipo simba bado wanajenga timu kufika robo fainali ya caf ukiwa na first eleven iliyojaa wachezaji wapya siyo kazi ndogo ninyi mkiwa na kikosi bora kabisa huku mna striker kama mayele mlishindwa kubeba hilo kombe mkaishia chukua medali laiti mngekuwa mnajenga timu kama simba nawahakikishia hata hiyo robo ya shirikisho msingeinusa..yani bora mngekaa kimya tu hivi mnavyozidi kujitetea ndio mnazidi kujivua nguo kuonesha kuwa yanga bado ni underdog sababu hata ikiwa kwenye peak ya mafanikio na kikosi bora bado haiwezi kufika mbali kimataifa ilihali simba ina uwezo wa kufika mbali hata ikiwa na kikosi kibovu cha mpira papatu papatu!!Copco ni timu ya mpira haipo shirikisho yaani UMISETA
Hao Zamalek na Berkane wameshawahi kulibeba hilo kombe wewe hata nusu haujawahi fika cheza hata fainali au beba kabisa kombe ndio utaweza kujiita mkubwa ikiwa kila anaeishia robo atajiita mkubwa na aliyecheza fainali ajiite naniMkiwa mnashiriki nyie ni mashindano makubwa,wakiwa wanashiriki simba aah ni mashindano madogo,mashindano ya looser n.k mnayapa majina mabaya ila sisi na wakubwa wenzetu kama Zamalek,Berkane tumetulia zetu.
Eti simba inajenga timu kwa hiyo ilibomolewa timu imeanzishwa 1936 huko eti leo inajengwa mbona Al Ahly Zamalek Mamelod nk hatujawahi sikia wanajenga timuMasikini yani umepigwa spana hadi umepoteana umeamua kuandika pumba sasa kwahiyo copco imekuwa timu bora kwa sababu haishiriki cafcc aise hebu acha kuwavua nguo mashabiki wenzako wote wakaonekana ni wapumbavu, unasema yanga ni timu kubwa ndio maana hatuamini kama imeishia makundi wakati huo huo kichwa cha uzi wako kinasema "ni aibu timu kama simba kutamba na mashindano ya shirikisho" maana yake hata ninyi mnajua simba ni timu kubwa ndio maana mnaona hawastahili kutamba na mashindano haya, na nikukumbushe tu hapo walipo simba bado wanajenga timu kufika robo fainali ya caf ukiwa na first eleven iliyojaa wachezaji wapya siyo kazi ndogo ninyi mkiwa na kikosi bora kabisa huku mna striker kama mayele mlishindwa kubeba hilo kombe mkaishia chukua medali laiti mngekuwa mnajenga timu kama simba nawahakikishia hata hiyo robo ya shirikisho msingeinusa..yani bora mngekaa kimya tu hivi mnavyozidi kujitetea ndio mnazidi kujivua nguo kuonesha kuwa yanga bado ni underdog sababu hata ikiwa kwenye peak ya mafanikio na kikosi bora bado haiwezi kufika mbali kimataifa ilihali simba ina uwezo wa kufika mbali hata ikiwa na kikosi kibovu cha mpira papatu papatu!!
Ila wewe kenge unajitahidi kujifariji na timu lako bovu ambalo utalishangilia litakapokuwa linashiriki kombe la shirikisho la TFF dhidi ya akina Mbuni FC, Mbagala Market. Si unaita CAF shirikisho ya wamama , Sasa Sisi tutafyeka kichaka cha wamama kuchukua medali ya hayo mashindano.Hujui mbumbumbu wako huko 5imba wapo wanaufurahia robo ya shirikisho 🤣
Unaelewa maana ya kujenga timu kunakozungumziwa hapa au umeamua tu kuleta mihemko yako, kwa mtu anayejua mpira anaelewa nini maana ya wachezaji kuwa na chemistry kubadili asilimia 90 ya kikosi na kufika hatua hiyo siyo kazi rahisi na hapo ndipo timu inapodhihirisha ukubwa wake, yanga ingebadili kikosi kama simba isingefika hapo simba ilipo uzuri ushahidi mnao kipindi kile yanga mbovu inatembeza bakuli tuambieni kimataifa ilifika wapi na hata sasa inavyojinasibu ina kikosi bora tuambie huko kimataifa imefika wapiEti simba inajenga timu kwa hiyo ilibomolewa timu imeanzishwa 1936 huko eti leo inajengwa mbona Al Ahly Zamalek Mamelod nk hatujawahi sikia wanajenga timu
Mnajenga timu kwani Simba ni Ken Gold au Pamba Jiji kwamba zimepanda daraja mwaka huu, usajili iliofanyika ni kuboresha kikosiUnaelewa maana ya kujenga timu kunakozungumziwa hapa au umeamua tu kuleta mihemko yako, kwa mtu anayejua mpira anaelewa nini maana ya wachezaji kuwa na chemistry kubadili asilimia 90 ya kikosi na kufika hatua hiyo siyo kazi rahisi na hapo ndipo timu inapodhihirisha ukubwa wake, yanga ingebadili kikosi kama simba isingefika hapo simba ilipo uzuri ushahidi mnao kipindi kile yanga mbovu inatembeza bakuli tuambieni kimataifa ilifika wapi na hata sasa inavyojinasibu ina kikosi bora tuambie huko kimataifa imefika wapi
Ni mchezo kamandaYes sisi ni wapinzani wa jadi na tunapaswa kutaniana,ila ukweli nikwamba kutoshinda game ya juzi tena home imekuwa disappointing sana kwetu mashabiki,hasa kama ulibahatika kuwepo uwanjani, utakuwa uliona mixed feelings baada ya mechi.Mikia lazima wafurahi kwasababu wao ni kama wanatengeneza timu na hawakutarajia hata kufika hapo.
Huna hoja Utopolo. Shabiki huwa wanafurahia pindi timu inaposhinda na sio suala la kutarajia. Kwani Utopolo mnapotarajia kushinda dhidi ya akina Namungo huwa hamfurahi mkishinda?Yes sisi ni wapinzani wa jadi na tunapaswa kutaniana,ila ukweli nikwamba kutoshinda game ya juzi tena home imekuwa disappointing sana kwetu mashabiki,hasa kama ulibahatika kuwepo uwanjani, utakuwa uliona mixed feelings baada ya mechi.Mikia lazima wafurahi kwasababu wao ni kama wanatengeneza timu na hawakutarajia hata kufika hapo.
We endelea kujitoa ufahamu tu, ila hoja hapa ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba inafika ikiwa na kikosi kibovu je hiyo maana yake nini, ukibisha njoo na hoja na mifanoMnajenga timu kwani Simba ni Ken Gold au Pamba Jiji kwamba zimepanda daraja mwaka huu, usajili iliofanyika ni kuboresha kikosi
Tofautisha group stage ya CAFCL na quarter final ya mashindano yenu ya akina mama
Asec mimosa kila mwaka wanauza wachezaji tena wale walio katika viwango bora kabisa na husajiri upya na wala hawajawahi kuja na visababu vya kujenga timuWe endelea kujitoa ufahamu tu, ila hoja hapa ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba inafika ikiwa na kikosi kibovu je hiyo maana yake nini, ukibisha njoo na hoja na mifano
Simba haina kikosi kibovu, wewe ndo akili yako mbovuWe endelea kujitoa ufahamu tu, ila hoja hapa ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba inafika ikiwa na kikosi kibovu je hiyo maana yake nini, ukibisha njoo na hoja na mifano
Sasa nyie na copco mnashiriki mashindano gani makubwa africa kwa sasa?Copco ni timu ya mpira haipo shirikisho yaani UMISETA
Ni upuuzi tu!!! Kwa nini unapata shida na aibu ambayo haikuhusu? Yaani Simba kufika robo fainali ni aibu? Ila yanga kutolewa si aibu? Ushabiki wa kijinga sana!!Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Haya mashindano ambayo Yanga, mwamba wa mpira alifika final na sio robo na aliona kawaida tu, Leo ndo mtani anatamba nayo
Mashindano ya shirikisho ambayo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano yenu ya akina mama, Leo ndo mtani anatamba nayo
Yanga tumeishia hatua ya group stage ambapo tumevuna billion 1 .7 wakati, mtani akifika final atapata million 900 tu
Hapa ndo muone tofauti ya CAFCL na shirikisho
Mashabiki wa Simba
Rage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita wasiojitambua
Mangungu akawaletea Manzoki kupiga nae picha, ila hakuwahi kucheza Simba
YANGA TUNAENDA KAMBINI KUJIANDAA NA SHIRIKISHO DHIDI YA COPCOMashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii hatua ya robo Namungo na Biashara united zilifika, Leo mtani ndo anatamba nayo
Haya mashindano ambayo Yanga, mwamba wa mpira alifika final na sio robo na aliona kawaida tu, Leo ndo mtani anatamba nayo
Mashindano ya shirikisho ambayo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano yenu ya akina mama, Leo ndo mtani anatamba nayo
Yanga tumeishia hatua ya group stage ambapo tumevuna billion 1 .7 wakati, mtani akifika final atapata million 900 tu
Hapa ndo muone tofauti ya CAFCL na shirikisho
Mashabiki wa Simba
Rage aliwaita mbumbumbu
Kaduguda akawaita malofa
Try again akawaita wasiojitambua
Mangungu akawaletea Manzoki kupiga nae picha, ila hakuwahi kucheza Simba