Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

Watambe na nini furaha ya kuwa na timu bora ni ushindi tu na siyo vingine yo
 
Ni upuuzi tu!!! Kwa nini unapata shida na aibu ambayo haikuhusu? Yaani Simba kufika robo fainali ni aibu? Ila yanga kutolewa si aibu? Ushabiki wa kijinga sana!!
Group stage ya CAFCL ni sawa na bingwa wa shirikisho yaani UMISETA
 
Hao Zamalek na Berkane wameshawahi kulibeba hilo kombe wewe hata nusu haujawahi fika cheza hata fainali au beba kabisa kombe ndio utaweza kujiita mkubwa ikiwa kila anaeishia robo atajiita mkubwa na aliyecheza fainali ajiite nani
Wewe ambae hata makundi kutoboa ni kazi unafaa kukaa meza moja na mimi au nikuupuuze,kwanza simba alishafika mpaka fainali mwaka 1993 na stellar abijan so huna cha kujivunia ni vile simba hatuna ulimbukeni kama nyinyi, hao Berkane na Zamalek kuchukua kombe ni zilipendwa haiondoi ukubwa wa simba.
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
 
Now days kila kitu kipo kwa Google so ili kuthibitisha ulichosema kuwa hamna ulimbukeni tuonyeshe picha ya wachezaji wa simba wakivishwa medali za CAF na ukishindwa itakuwa nawe ni zilipendwa
 
Acha upuuzi, yaani timu ya confederation cup a.k.a shirikisho itambe kutoboa Champions Leogue aka ligibya mabingwa.
 
Asec mimosa kila mwaka wanauza wachezaji tena wale walio katika viwango bora kabisa na husajiri upya na wala hawajawahi kuja na visababu vya kujenga timu
Hapa tunalinganisha simba na yanga ndugu utopolo asec mimosas siyo timu ndogo, tukisema tuchambue visingizio vya timu basi yanga ndio mnaongoza kwa kuwa na visingizio vingi tena visivyo na kichwa wala miguu, hoja hapa ni kulinganisha ukubwa wa simba na yanga usitake kuchepusha hoja
Simba haina kikosi kibovu, wewe ndo akili yako mbovu
Hahaha taratibu kiswahili kinaanza kubadilika mara hii tena simba imekuwa haina kikosi kibovu simba hii mnayosema inacheza mpira wa papatu papatu na inashinda kibahati tu, uzuri wenu mashabiki wa yanga huwa mkibanwa mahali padogo tu mnakosa pa kutokea na hatimaye mnaanza kukinzana na maneno yenu wenyewe na kukubali kuwa simba ni timu kubwa, haya tuachane na msimu huu simba ya msimu uliopita ambayo ilikuwa mbovu kabisa kiasi kwamba mashabiki karibu wote waliikatia tamaa mbona ilifika robo klabu bingwa sawa na yanga ambayo ilikuwa na kikosi bora
 
Acha umbumbumbu wako
Kufika robo final au kutokufika haimaanishi kuwa timu ni Bora
Mpira Kuna bahati
Team kama spurs amecheza final na ligi ikiwa na Barcelona, Madrid, Juve
Young boys, Psv, Leipzig, Monaco n. K
Zimefika hatua kubwa za UEFA na timu kama Buyern, Ac Milan, Liverpool zikitoka hatua za kwanza, hii haina maana kama Psv inazizidi ubora
Acha kutulazimisha tumpe heshima Rage Kwa kuwatia mbumbumbu
 
Unajua unachonifurahisha ni kwamba unazidi kuja kwenye hoja yangu yani taratibu akili zinaanza kuwarudia, sasa kama mnajua kuwa mpira ni bahati kwanini simba tu ikishinda ndio inaonekana ni bahati ila yanga ikishinda inaonekana ina kikosi bora, mnatumia vigezo gani hadi kuona kwamba simba ikishinda ni bahati ila yanga ikishinda ni bora au na sisi tumpe heshima luc eymael
 
Huwezi kuelewa na umbumbumbu wako
Hebu nifatilie uchaguzi chadema Mlimani city
 
Copco ni timu ya mpira haipo shirikisho yaani UMISETA
Napata shida sana kujua utimamu wako unapoyakataa mashindano ya CAF Shirikisho yenye zawadi ya bilioni 5 na kuyakubali ya TFF Shirikisho yenye zawadi ya milioni 50. Wakati huo huo haujui hata kama hao Copco unaenda kucheza nao kombe la shirikisho.

Mimi nadhani mambo ya mpira umeyavamia tu.
 
Acha upuuzi, yaani timu ya confederation cup a.k.a shirikisho itambe kutoboa Champions Leogue aka ligibya mabingwa.
Kwenye kundi lenu hakuna timu ya kumtetemesha Simba blazangu,wote ni maunderdog kwetu tu
 
Huwezi kuelewa na umbumbumbu wako
Hebu nifatilie uchaguzi chadema Mlimani city
Naam, na hapa ndipo uwezo wenu wa kujenga hoja ulipoishia mashabiki wa uto, vipi uko upande wa nani huko kwenye uchaguzi
 
Kwani unateseka ukiwa wapi...?
 
Now days kila kitu kipo kwa Google so ili kuthibitisha ulichosema kuwa hamna ulimbukeni tuonyeshe picha ya wachezaji wa simba wakivishwa medali za CAF na ukishindwa itakuwa nawe ni zilipendwa.
Sasa kama hata hili unabisha una matatizo, google hata wewe unayo thibitisha mwenyewe, maana hata niki google mimi utanibishia.
 
Pilipili ya shamba yakuwashia nini?
Kula nyama nyamaza, acha hasira mkuu wewe zingatia tu ligi kuu mengine hayakuhusu.
 
Kafie mbele. Hakuna mwenye hatimiliki ya mashindano ya CAF.
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • AQN6PtMKJ49aa8CDegUU3O2FCyDYr9S2ycVZGcAV7xd86UuuRKybN2AoiMdDk5CaAu7NnZ7GYDmKxJViVd-_Ip3D.mp4
    1.1 MB
Unatuletea historia hapa ya miaka 50 iliyopita unajielewa kweli wewe,,tuonyeshe basi iyo medali ya mwaka 1974,,
Natamani sana nawe utuambie mnavyoswmaga yanga ni bingwa mara 29 huo ubingwa unajumuisha historian ya miaka mingapi iliyopia, ikionekana inafika 50 nashauri ubadilike uache wehu utumie akili zako timamu ulizopewa na Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…