Uwekezaji tosha sana,msicomplicate maisha mtakufa mapemaa saanaKwani mtu kuishi kwenye nyumba yake ya zaidi ya hiyo 30 sio uwekezaji?
wewe umejitetea mada hiyi na ikuepuke nazungumzia wale walaUmesema miaka 10 ya utafutaji sio? Kuanzia 25 hapo unamaanisha!
Sawa, twende pole pole, mimi ni kijana nilikulia maisha ya kuunga unga, home msosi mmoja kwa siku, nimepita pita shule kwa msaada wa serikali, nimemaliza nikiwa na miaka 24. Sina cha kurithi wala sijaanzishiwa maisha.
Miaka 4 ya kutafuta kazi, sina kitu hapo! Miaka 2 iliyofuata nikiwa na ajira ya mshahara wa 1,000,000/= basic, nikaanza kupanga ghetto na kujiweka sawa!
Ili kuepuka kuwa centre point ya familia, najivisha majukumu, kuvuta wengine ili wajitegemee! Kwa miaka 4 napambana na maisha yangu na ya familia(shule, kula, matibabu na pango)
Miaka 10 ya utafutaji wa halali ndo hiyo hapo na umri ndo huo hapo! Sh 30m inapatikanaje?
- Au kwa mikopo ya riba iliyoshushwa? Poda? Michezo au Mission town? Kuwa chawa? Kulamba midomo?
Umri na uwekezaji wapi na wapi?Uwekezaji tosha sana,msicomplicate maisha mtakufa mapemaa saana
Wazee wana 80 years hawana hataa nyumba
Ingekua hio fomula inaaply duniani kungekuwa na matajiri wote.Umri na uwekezaji wapi na wapi?
Kila mmoja wetu ana namna yake anavyoyapokea na kuyachukulia mambo....Yaani ujiue wakati wazee kibao wametoboa mpk 80 years hawana hataa kiwanja na maisha yameenda 😂😂😂😂
Hili jambo linaweza kuonekana jepesi lakini ni zito machoni au masikioni mwa mtu anayeelekea kukata tamaa....Kujiua mbali sana 🤣 ila ka msongo tumepata..
Umeandika nilichokiwaza,Maandiko kama haya yanaweza kuchukuliwa masikhara lakini ni hatari sana kwa kuwa yanawagusa watu wengi na hupelekea msongo wa mawazo na hata kujiua.....
Na huo ndio uhalisia wa maisha ya Sasa..... mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa kwenye ulimwengu wa taarifa kiganjani.....lakini upande wa pili umesababisha na kuleta misongo ya mawazo na masononeko makubwa sana kwenye jamii zetu hasa kwa vijana kuanzia miaka 25 mpaka 45........Umeandika nilichokiwaza,
Inasikitisha vile maneno ya kwenye social network yanaweza kuathiri watu wengine.
na tuvumiliane Mkuu ila uwekezaji ni muhimuNa huo ndio uhalisia wa maisha ya Sasa..... mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa kwenye ulimwengu wa taarifa kiganjani.....lakini upande wa pili umesababisha na kuleta misongo ya mawazo na masononeko makubwa sana kwenye jamii zetu hasa kwa vijana kuanzia miaka 25 mpaka 45........
Ndio maana nawahusia vijana bongo zao ziwe na chujio wanapotumia mitandao ya kijamii kwani kwa kiasi kikubwa mambo yanarushwa hayana uhalisia........
Huu ni ukumbusho mzuri kwa vijana lakini umeuleta katika lugha ya kikatili bila kujali mazingira na uhalisia wa watu husika........maneno yako haya yanakwenda moja kwa moja kwenye kufuru.........na tuvumiliane Mkuu ila uwekezaji ni muhimu
nakaziaMzee kupata kidogo unaona ushatoboa??
Life begins at 40's
Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Maghayo anasema ushakunywa chai na kiporo hapo kwa shemeji saa hizi uko na remote unaropoka tu!
Mchoraji wa hizi cartoon ni nani amemifurahisha sana na ile katumi yake maarufu ya ukraine na wenzie iraq n.k
Mkuu mbona wengine tumeshakata tamaa ila tunaendelea kudunda tuu...kuna stage unafika unajua huwezi kufanikiwa kimaisha ila inabidi uendelee kutafuta chochote cha kupeleka siku mbele mpaka utakapokata moto🐒Hili jambo linaweza kuonekana jepesi lakini ni zito machoni au masikioni mwa mtu anayeelekea kukata tamaa....
Tafuta na elewa why Kuna msemo huo kuwa life begins at 40. Ilikuwa ni kuwafariji watu ama middle age sijui Nini crisis yaani ivyo ivyo walikuwa na msingi sijui ndio ikabuniwa iyo kauli.kikubwa ukipata hela wekeza iliyobakia kula Bata kidogoLife begins at 40 ni njia ya mtu aliyechezea muda wake kujifariji. Maisha yanaanza immediately ukishapata akili timamu, kama hiyo akili timamu unaipata at 40 kuna shida sehemu "The earlier the better"
Mleta mada hajui ule msemo usemao kua uyaone huyu bado hajakua pia inaonekana ni funua pale🤔Furahi sana cheka sana ila omba yasikukute