Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

Umesema miaka 10 ya utafutaji sio? Kuanzia 25 hapo unamaanisha!

Sawa, twende pole pole, mimi ni kijana nilikulia maisha ya kuunga unga, home msosi mmoja kwa siku, nimepita pita shule kwa msaada wa serikali, nimemaliza nikiwa na miaka 24. Sina cha kurithi wala sijaanzishiwa maisha.

Miaka 4 ya kutafuta kazi, sina kitu hapo! Miaka 2 iliyofuata nikiwa na ajira ya mshahara wa 1,000,000/= basic, nikaanza kupanga ghetto na kujiweka sawa!

Ili kuepuka kuwa centre point ya familia, najivisha majukumu, kuvuta wengine ili wajitegemee! Kwa miaka 4 napambana na maisha yangu na ya familia(shule, kula, matibabu na pango)

Miaka 10 ya utafutaji wa halali ndo hiyo hapo na umri ndo huo hapo! Sh 30m inapatikanaje?
- Au kwa mikopo ya riba iliyoshushwa? Poda? Michezo au Mission town? Kuwa chawa? Kulamba midomo?
wewe umejitetea mada hiyi na ikuepuke nazungumzia wale wala
 
Umeandika kimasihara sana lakini Mjumbe muhimu sana umefikisha..
 
Umeandika nilichokiwaza,
Inasikitisha vile maneno ya kwenye social network yanaweza kuathiri watu wengine.
Na huo ndio uhalisia wa maisha ya Sasa..... mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa kwenye ulimwengu wa taarifa kiganjani.....lakini upande wa pili umesababisha na kuleta misongo ya mawazo na masononeko makubwa sana kwenye jamii zetu hasa kwa vijana kuanzia miaka 25 mpaka 45........

Ndio maana nawahusia vijana bongo zao ziwe na chujio wanapotumia mitandao ya kijamii kwani kwa kiasi kikubwa mambo yanarushwa hayana uhalisia........
 
na tuvumiliane Mkuu ila uwekezaji ni muhimu
 
Hili jambo linaweza kuonekana jepesi lakini ni zito machoni au masikioni mwa mtu anayeelekea kukata tamaa....
Mkuu mbona wengine tumeshakata tamaa ila tunaendelea kudunda tuu...kuna stage unafika unajua huwezi kufanikiwa kimaisha ila inabidi uendelee kutafuta chochote cha kupeleka siku mbele mpaka utakapokata moto🐒
 
Life begins at 40 ni njia ya mtu aliyechezea muda wake kujifariji. Maisha yanaanza immediately ukishapata akili timamu, kama hiyo akili timamu unaipata at 40 kuna shida sehemu "The earlier the better"
Tafuta na elewa why Kuna msemo huo kuwa life begins at 40. Ilikuwa ni kuwafariji watu ama middle age sijui Nini crisis yaani ivyo ivyo walikuwa na msingi sijui ndio ikabuniwa iyo kauli.kikubwa ukipata hela wekeza iliyobakia kula Bata kidogo
 
Back
Top Bottom