Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye LIST angu hao hawapoNi aibu sana kutoa hoja kama hii!!!
1)Wapo waliokuwa wanaugua wakalazwa au kuugulia nyumbani shughuli zao zikasimama
1)Wapo waliofungwa jela miaka kadhaa kwa kesi za kweli au kusingiziwa
1)Wapo walioachishwa kazi kwa makosa au kupunguzwa
1)Wapo waliofiwa na watu waliokuwa wakiwategemea mfano kimasomo au kwa za kiuchumi.
Na wote hao huenda wana umri zaidi ya miaka 35.
Hivyo si sawa kutumia kigezo cha umri katika swala hilo.
Ndoto zako si ndoto za wengine. Wengine wameridhika na maisha yalivyo. Usitake kuwafanya wote wapende upendacho wewe.Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti
Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu kwelii
alafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli
Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa
Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna
Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 ukauza nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa
ila smat ya m3 na kagheto kakumbususia wake za watu unalo tena limesheheni vitu ambavyo haviwezi kuku move on wakati ujao
Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.
Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.
Pia mnatabia za kutokujifunza mambo mapya kila kitu unachoambiwa utasikia motivesheni spika, kila kitu kwenu hakiwezekani
(Ngoja tupate tangazo)
.👇
Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa
(Twende tuendelee) hivi kwa nini umri huo umeshindwa kuwa hata na m30 sehemu mnafeli wapi?? Kama ww mwenyewe umejisaliti kwa kuto kuwa na kiasi hicho nani atakuamin, biashara asubuhi jioni mahesabu
Na namwomba shetani watu kama nyinyi muwe na gundu hadi kwenye mbususu yaani mnyimwe ili akili ziwakae
Kabisa!Mambo sio hivo mkuu,yangeenda hivo dunia nzima ingekua na matajiri kibao
Maisha ni fumbo, unapanga unapanguliwa
Sisi Waswahili tunasema hivi "Mswahili akipata matako hulia mbwata" au "Mkata akipata matako hulia mbwata".Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti
Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu kwelii
alafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli
Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa
Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna
Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 ukauza nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa
ila smat ya m3 na kagheto kakumbususia wake za watu unalo tena limesheheni vitu ambavyo haviwezi kuku move on wakati ujao
Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.
Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.
Pia mnatabia za kutokujifunza mambo mapya kila kitu unachoambiwa utasikia motivesheni spika, kila kitu kwenu hakiwezekani
(Ngoja tupate tangazo)
.👇
Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa
(Twende tuendelee) hivi kwa nini umri huo umeshindwa kuwa hata na m30 sehemu mnafeli wapi?? Kama ww mwenyewe umejisaliti kwa kuto kuwa na kiasi hicho nani atakuamin, biashara asubuhi jioni mahesabu
Na namwomba shetani watu kama nyinyi muwe na gundu hadi kwenye mbususu yaani mnyimwe ili akili ziwakae
Upo sahihi kabisa, yanawafanya wengine wajione duni na walioshindwa.Maandiko kama haya yanaweza kuchukuliwa masikhara lakini ni hatari sana kwa kuwa yanawagusa watu wengi na hupelekea msongo wa mawazo na hata kujiua.....